Hivi wanawake tunawaza nini?

Hivi wanawake tunawaza nini?

kwani akimpa wewe utadhurika nini ?
 
Kunakitu haujakiweka wazi mleta Uzi. Hoja ulioileta haija kamilika, nashawishika kusema hojayako ni nyepesi na inafaa kujadiliwa na wavulana & wasichana, and no great thinkers.
 
Nionavyo mimi hao lao moja hapo wanakujaribu tu waone utasemaje.
 
Hapo utakuta mume kamwambia huyo mwanamama, "nenda mwenyewe kamuombe mke wangu, akikukubalia basi tuzae tu"...

hahahaa na huyu mwanamke ni mwehu....hajui za kuambiwa changanya na zako....
 
naona tu ubongo umesimama namuangalia simmalizi kweli wanaume wote hawa mume wangu ndio wakimpa mimba?

Kapigwa nondo ya mumeo hadi kaikubali;kaona kote alikopita ni pumba hadi anachanganyikiwa; angalia atakuuwa
 
Mualike destroyer chumbani kwako, utajuta.

Ulipaswa kufanya hiviii!!

Alipokwambia tu habari yake hiyo ungemwambia "nisubiri kidogo nakuja" uingie ndani utoke na panga na kulikwaruza kama unalinoa na makelele ya kutaka kumcharanga, angetoka mbio nawe umfuatie kwa nyuma ukimpelekea ujumbe wa maneno kuwa ama zake ama zako, mpaka umtenganishe kichwa na kiwiliwili.

Nakuhakikishia angehama alipokuwa anakaa, kama ni mbezi angehamia gongo la mboto ndani ndani huko na town angekuwa anakuja kwa kuvizia.

Wewe umezembea na hatua yoyote utakayochukua sasa atajua ni akili ya kuambiwa, wewe mwenyewe huna noma.

Kwa heri!!!
 
asanteni marafiki tumepata suluhisho bora kabisa,tumeungana na mume wangu tumemfata tumempa kubwa mbele ya familia yake.ameona aibu na ameomba radhi.
 
Ushauri wangu,acha tabia ya uchoyo.
 
Kama chai.....


Hizo guts alitoa wapi????

Hukumnyonyoa vinyweleo kweli????
 
Katika hali nisiyo itegemea kutokea, mimi na mume wangu tunaheshimiana sana.kumbe kuna mmama anamuomba ampe mimba tu awe na mtoto wake basi ataridhika.

Mume wangu hakuniambia ila mama kaamua kujitutumua kuja kuniomba azae na mume wangu kwa makubaliano fulani fulani hivi. Sijaelewa nahisi kichwa kinazunguka nyuzi 360 sielewi hata chakufanya

Nishaurini jamani

Acha ushamba wewe...... Kama hayo makubaliano flani flani yana maslahi kwako kwann uckubali sasa
 
asanteni marafiki tumepata suluhisho bora kabisa,tumeungana na mume wangu tumemfata tumempa kubwa mbele ya familia yake.ameona aibu na ameomba radhi.

Hongera dada lakini angalia isijekuwa unachezewa cheusi chekundu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom