Katika hali nisiyo itegemea kutokea, mimi na mume wangu tunaheshimiana sana, kumbe kuna mmama anamuomba ampe mimba tu awe na mtoto wake basi ataridhika.
Mume wangu hakuniambia ila mama kaamua kujitutumua kuja kuniomba azae na mume wangu kwa makubaliano fulani fulani hivi. Sijaelewa nahisi kichwa kinazunguka nyuzi 360 sielewi hata chakufanya
Nishaurini jamani