Hivi wanawake nyinyi mna nini?

mwanamke gari nyumba utaikuta kwa mume
 
leo hii nikijenga nyumba namjengea mama yangu hata akiwa nazo 20 yangu itakuwa ya 21 ya familia atajenga mume
 
mbona umeona huyo


wamachame, nao mchezo ndo huo, wengine ni wajita - kama huamini nenda msoma kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu.

Hapa town kuna mama mmachame alishawaua wanaume 2; sasa anamiliki zile kampuni na majumba walojenga hao wababa.
 
Poleee naona chupa ya chai ya bamsapu wako inapoza haraka haraka. Hata hivyo bado zipo chupa original zinazopitisha mpaka siku ya pili yake.
 
Tunajenga wenyewe hatujengewi na wala haturithi
 

Adharusi jamani, khaaa!
Umeshaambiwa mwanamke ni pambo la nyumba.
Wewe jenga, nije kuipamba nyumba yako.
Ukifa nikupambe.
 
Last edited by a moderator:
mali za ndoa ni za wote wawili, labda kwa kukuongezea hii inaonesha wanaume wanawahi kufa kuliko wake zao ndio maana wanawake wajane ni wengi zaidi na hivyo kurithi mali kuliko wanaume.

sio kuonyesha tu hii ni FACT......kutokana na shuruba azipatazo mwanaume kulinganisha na mwanamke....
 
Adharusi jamani, khaaa!
Umeshaambiwa mwanamke ni pambo la nyumba.
Wewe jenga, nije kuipamba nyumba yako.
Ukifa nikupambe.

yaani napenda majibu yako sana....na nikiiangalia hio AVATAR inaendana na majibu yako kabisaaa.....
 

Hata tukijenga, hatufi haraka, utakufa na kutuacha.... poleeeeeeeee we!
 
Wakati na kuhemelea pilipili hoho na karoti tunasaidia siku hizi.

Ukute hata mafundi tunasaidia kulipia hela zetu za mchezo

enheee ndio aje tubadilshane!
manake nahs anaona tunafaidi saaaana!
 
Wakati na kuhemelea pilipili hoho na karoti tunasaidia siku hizi.

Ukute hata mafundi tunasaidia kulipia hela zetu za mchezo

SI NDIO MI NASHANGAA!
hv kuna watu bado wanajengewa nyumba na kuingia kukaa akiwa hajachangai chcohote kweli!
ILA hebu tuiangalie hiv
NIKINUNUA MCHELE KILA SIKU NA KAROTI AF MWANAUME AKAPELEKA HELA KUNUNUA LORI LA MCHANGA AKIRUDI ANAKULA ULE MCHELE NINAKUWA SIJACHANGIA KUJENGA!?
yani hii mada ameileta kimasikhara sikhara lakin inafikirisha NA KUKERA sana!

UKINIPA HELA YA MAFUNDI mi NIKAENDA KUSHINDA SITE KUSIMAMIA MAFUNDI WASICHAKACHUE SEMENTI,bado sijachangia kujenga hiyo nyumba kiasi ukifa iwe ni nongwa kuirithi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…