Hivi wanawake mnawaza nini pale mnapotongozwa?

zamani nilikuwa nawaza harusi yangu na yeye ,game itakavokuwa etc
siku hizi sitongozeki naona anapiga tu tararira isiyo na msingi .namuona kibaka wa papuchi asie na maana
Miss natafuta kumbe uko kwenye mwonekano mpya.... hiyo new look inatikisa tasnia ya mitindo duniani.


Hahahaaaa dress to impress imekua kinyume chake hahaaaaa
 
Nahisi siku hizi watakuwa wanawaza namna ya kujibu punde fundi atakapoomba kufumua marinda yao!!
 
siku hizi unauliza tu "tunatoka lini?"...tayari wanakua wanajua nini kinaendelea...but i think na utandawazi ndio umepelekea mazingira kua hivi kua njia za kuelewana zimekua rahisi.
 
Nimependa hayo mawazo yako kwa asiyeoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…