bakita wanadeal mpk na uandish na utamkaji wa maneno vip uwe au hujui hilo;ukiach kutoa fasili ya neno/maneno na kuyaingiza ktk kiswahili #point ni kw umbo lako la kiazi kimini hakikufai bibi
Nshamaliza mjadala na wewe hadi ujue kuandika vizuri
laiti ungenijua usingeandika ulichoandika nna umbo zuri na bonge la guu la bia
got it from my mama
sikujibu tena
Mkuu kama mimi ninakofanya kazi wote ndio wanavaa visket vifupi mpaka dusherere imezoea saivi hata haishtuki kwa visiketi vifupi ila akija mgeni kavaa dela/gauni lefu basi Fujo ndani ya boxer hatari
Michosho tu hawa, siku hizi naona hakuna suruali za kiume wala za kike
unakuta njemba imevaa kasuali kamebana tupaja kama vimdenge vya mishikaki
bado kaichana na kwenye goti, vigoti vimejikomalia masikini
ehhhhhh watuache bana