born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
xx co kwa umbo lako km kiazi na ww unavaa sket fupi
xx co kwa umbo lako km kiazi na ww unavaa sket fupi
Mtuache jamani, nyie mbona mwavaa trou mlege, mwaonesha boxa na makalio kwani nini tafsiri yake?
xx co kwa umbo lako km kiazi na ww unavaa sket fupi
Inakuathiri kwa namna yeyote ile???
Kupiga picha huku wakibinua matako maana yake wanauza makalio na wako radhi uyale.
Sketi fupi maana yake uone mapaja laini
Sketi fupi na kubana migui maana yake anakunyegeshhaa
Kutoa pesa na kjoa maana yake unanunua papuchi iwe yako yaani uwe na uhuru nayo.
Kuvaa nguo hakuna limit ya aina ya umbo haijalish mguu ukoje ndo alivyoumbwa afanyaje ukipenda kitu nunua vaa usifikirie flan atasemaje maana hajakuchangia hata sent na cyo mwil wake hayo mambo ya kukaa na kuanza kukagua watu yamepitwa kwa nn upoteze sekunde kwa ajil ya kumjadil mtu embu tumia sekunde zako kuwaza maendeleo mtu avae nguo yake kanunua mwenyewe na ni mwil wake ingekuwa hivyo bas hata wanaume wasingevaa bukta maana miguu yao ni siyo mizur lakn mtu anavaa kwasababu kapenda mwenyewe kwa nn umpangie mtu kitu chaku vaa
Kuandika tu hujui, kajifunze kwanza kuandika ndio uje utoe maoni yakoxx co kwa umbo lako km kiazi na ww unavaa sket fupi
hainiathiri wala nini sister, so ndo tuihalalishe au
I'm new here, but I like to answer ,,,,huwa tunaonekana wanawake tu, mbona wanaume wanavaa skintight, skinjeans, vipedo( kaptura fupi zinazoonyesha mapaja)now days ni nini maana yake, do not humiliate or favor one gender,,,,, na hyo milege inayotuonesha watu secret parts zenu,,,je??? Na nyie mnafanya biashara
Michosho tu hawa, siku hizi naona hakuna suruali za kiume wala za kikeNa zile tishet zao zilizochanikachanika,
Muihalalishe vipi sasa jamani, kwani wapi mlipoandika kuvaa sketi fupi haramu?
Kupiga picha na kubinua makalio nini tafsiri yake?
Kushona sketi na kuipasua pajani au kalioni nini hekima zake?
Kuvaa kisketi kifupi na kuibana miguu bila uhuru vipi fukuto lake?
Tunapowaoa na kulipa pesa wanaume, upi usawa wake?
Hebu jibuni niwasikie.
Michosho tu hawa, siku hizi naona hakuna suruali za kiume wala za kike
unakuta njemba imevaa kasuali kamebana tupaja kama vimdenge vya mishikaki
bado kaichana na kwenye goti, vigoti vimejikomalia masikini
ehhhhhh watuache bana
Kama hauna mamlaka ni vizuri, heri tu ufanye yako sasa ya walimwengu waachie walimwengu wenyewemaandiko ndiyo yanayotaka hivyo si mimi, bado sijawa na mamlaka hayo ila kama unaona ni sawa basi endelea tu