Hivi wanawake mnanini?

umetisha sana mkuu..wanawake kwa kutetea ujinga.
 
Evelyn Salt;Mtuache jamani,
tembea hata uchi dada angu ucogope..mwili n wak
 
Ndiooo tunaishi tupendavyo ilmradi hatuvunji sheria
 
aaah mkuu sasa tofauti yangu na Evelyn Salt haipo katika sura tu hadi mavaz mie ntavaa mpasuo ad usawa wa T Eve avae sket ndefu ko ni taste tofaut kwa kila mtu
 

Haya shushia na maji....
Tumechoka humu jukwaani kila mada ni wanawake tu wakati mna yenu mmeyakalia hamusemi....milegezo haiwakeli ila vimini
 
I'm new here, but I like to answer ,,,,huwa tunaonekana wanawake tu, mbona wanaume wanavaa skintight, skinjeans, vipedo( kaptura fupi zinazoonyesha mapaja)now days ni nini maana yake, do not humiliate or favor one gender,,,,, na hyo milege inayotuonesha watu secret parts zenu,,,je??? Na nyie mnafanya biashara
 
"tunapooa na kulipa pesa wanaume....." so unamnunua mkeo..basi kama vipi mkataze vyote hivyo, cz umenunua, mteja ni mfalme
 
Wanaume wanapenda,kuvutiwa na wanatenda, ndiyo maana wanawake wanafanya na kutendwa.
 
Haya shushia na maji....
Tumechoka humu jukwaani kila mada ni wanawake tu wakati mna yenu mmeyakalia hamusemi....milegezo haiwakeli ila vimini

Kumbe ee...Vizuri.
 
Wanafanya hivyo maana wanajua kuna wanaume wapumbavu na malimbukeni ya kushawishika. So hapo wajinga ndio waliwao brother. Ukitembea katika muongozo wa kimungu yote hayo kwako ni bure tuu. Nautaweza epuka vishawishi vyote. Chaguo ni lako. Upo hapo.
 
Tuacheni tufanye hivyo coz wanaume wengine bila ya kuwaonyesha uchi hawategeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…