MTU anauhuru wa kuvaa atakavyo na nyie mnavyo vaa mlegezo maana yake nn
Mnavovaa minyonyo kupitiliza maana yake nn
Wewe kimekukera nn nyie ndo walewale mnaosumbuliwa na tamaa za mapenz ukiona tu sehemu za mwil bas unachanganyikiwa maana akil yako imetawaliwa na mapenz
Inakuathiri kwa namna yeyote ile???wanawake ktk kutetea upumbavu wao, so unataka kuhalalisha huo uvaaji
Utampangiaje human being mwenzako namna ya kuishi?
Wanawake wa zamani walikuwa wameukalia uchumi tu, wa siku hizi hawaukalii tena uchumi lazima wawavutie wawekezaji kwa hali na mali.