Sina mwandiko mbaya hivi nitake radhi tafadhari mkuuKama huna hata kianzio cha kuhongea utatumia nguvu nying sana kutongoza... haya mambo yanaenda sambamba...
Anyway unamwandiko kama wa Zero IQ
Kuna mjinga aliniomba hela ya umeme wiki iliyopita.Hii siku hizi imekua fasheni kwa mabinti yaani akikupa namba utasikia my naomba Ela ya luku au vocha
Kwa heshima na taadhima naomba nikutakie ASSALAAAM ALEIKUM popote ulipo fturu chochote nitalipa hata kama hujafungaSina mwandiko mbaya hivi nitake radhi tafadhari mkuu
Wanazingua mbaya, mm dem hata awe mkali kiasi gani au niwe namuona kiwango akishaanza my nikuombe kitu? Fasta namjibu hapana usiniombe!Hii siku hizi imekua fasheni kwa mabinti yaani akikupa namba utasikia my naomba Ela ya luku au vocha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanazingua mbaya, mm dem hata awe mkali kiasi gani au niwe namuona kiwango akishaanza my nikuombe kitu? Fasta namjibu hapana usiniombe!
Kumbe...Hakuna kitu sipendi kama kuniita "my"
AiseeHakuna kitu sipendi kama kuniita "my"
Karibu uje naftarisha....Kumbe...