Hivi wanawake mna matatizo gani?

Hilo gazeti mie sijalisoma. Ila wanao umia ni wote ingekuwa sio hivyo hili bango lisingekuwepo hapa.
Mwanaume anaumia zaidi akitombewa kuliko mwanamke. Ipo hivyo.
Vita na iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe ndio umeongea nini[emoji23][emoji23][emoji23]hiii huyu vipi nitolee uzomomo wako hapa unaacha kuongea point unatoa matusi, chizi kweli wewe
Wewe ndie umeongea nini..... Maana unasapoti upuuzi halafu unanihoji mimi nimesema nini hivi wewe mzima kweli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo mambo ni ngumu sana sikia kwa watu tuu........nina jamaa yangu kesi iko kortini....wamezaa 3 kids.....baba kafunga kizazi...mkewe sijui kajichanganyaje imenasa........jamaa akamwambia atakuwa amua mwenyewe.....niwe nakukula 071 au usepe.......kavumilia yamemshinda......wanaaibishana mahakamani sasa....hii dunia hii.....sikia tu kwa jirani...
 
Wewe umemtia mimba mke wa mshikaji wako! Unataka kujua Atakufanya nini,jiandae tuu....
 
Hilo gazeti mie sijalisoma. Ila wanao umia ni wote ingekuwa sio hivyo hili bango lisingekuwepo hapa.
Mwanaume anaumia zaidi akitombewa kuliko mwanamke. Ipo hivyo.
Vita na iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa nashika mimba sawa..... Ningesema naumia.... Ila maumivu ya kutombewa mke huwa yanaisha ndani ya wiki chache na kinachokuwa kinaumiza ni ile feeling kuwa ulimuheshimu ukamuweka ndani huku wenzako wakitumia ila wewe ndie unagharamikia....

Sasa nikiacha kugharamikia na nikakutosa nikapata chombo kipya unadhani naumia nini tena hapo....?! Eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe sasa, mimi nikikutomba nikakupa mimba nimeshakupa kilema cha mvuto, wanaume hawatakuona kama first class lady utaonekana kama mwanamke used......

Hapo bahati yako itakuwa imelalia upande wa wanaume wenye watoto mkutane mtengeneze blended family nje ya hapo ukitaka wa pekee yako labda awe marioo.... Ambae utabidi umlipe ili kuwa nae.....

Sasa hapo unamkomoa nani..... Si wewe mwenyewe. Utatombwa na wanaume tofauti ukitafuta wa kunireplace ila utapata wapi, kila anaekuja anakukojolea ndani ila akishamaliza anakutazama usoni anakumbuka kuwa wewe ni used sasa umeona wapi wanaume wakapenda kuwa na mwanamke mwenye mtoto..... Yaani bao apige mwingine bili nilipe mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo gazeti mie sijalisoma. Ila wanao umia ni wote ingekuwa sio hivyo hili bango lisingekuwepo hapa.
Mwanaume anaumia zaidi akitombewa kuliko mwanamke. Ipo hivyo.
Vita na iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisome na mimi sijaandika kwako tu nakuandikia na wenzako wajifunze..... So kalagabaho...... Endelea na mashindano.... Ukifika 30 utaelewa kwasasa jitie kichwa panzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sijui wa wapi ndugu. Yaani nizae ndo nikose mvuto? Itakuwa kwa muda tu wakati nalea baada ya hapo nitarudi normal. Sio wote tupo Kama mkeo au ndugu zako wa karibu wakishajifungua wanajiachia na kuwa Kama furushi la mkaa. Relax...
Kidume kujibizana na mie nisie na thamani inashangaza. Endeleza uanaume wako kama ilivyo misimamo yako, Kama inakupa furaha hakuna tatizo. Kila mmoja aishi kwa anavyoona ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mdada ni mzuri Sana Kama hilo jina?
[emoji41][emoji41][emoji41] Au taito tuuu
 
Sasa hii ishatokea inamana huyu mwanamke alikuwa hampendi jamaa anaishi labda sababu inayo mfanya awe nae Kama Hana pesa ipo sababu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba pesa ya kula tu anayo, maana ana nyumba yake 4 rooms with anything inside, ana kigari cha kurahisisha usafir wa hpa na pale! Na Bado mwamba n formal employee ( pensionable)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think you have made a good point here..

Hatuwezi kulinganisha madhara ya mwanaume kuzaa nje na mwanamke kuzaa nje ya ndoa..Yaani mimi nikae ndani naangalia tumbo la mke wangu likiwa limebeba mimba ya mwanaume mwingine??..Na pia namhudumia..No way

Lakini hakuna sehemu imealalisha mume kuzaa nje..but if it happens haiwezi kuwa sawa na mke kuzaa nje ya ndoa na mume kujua..it's nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…