Hebu acha upuuzi wewe. Yaani utombewe hadi mimba kisha ukubali kulea damu isiyo yako..... Yaani mwanamke mimi nikikuta tu anachat na mwanaume na hata yeye akakiri kuwa walikuwa wanatakana anaingia kwenye gari na mabegi yake nakwenda kumuacha kwa huyo mwanaumeMkuu pole sana, kama unampenda bado mke funika kombe mwanakharamu apite, ila piga marufuku ukaribu wa hao watu wawili na mwambie mkeo asimwambie huyo jamaa kuhusu ujauzito wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa.... Yaani mimi mwanamke asiyetaka kuwa na mimi ni aseme tu asianze kuleta usenge..... Nambie kuwa tu sitaki na uwe na sababu za msingi kama ni mambo ya kitoto unakula na makofi kwa kunipotezea muda nachoma moto kila nilichokutafutia na ukamfuate huyo fala mwenzako.......MWAMBIE APIGE CHINI HUYO MBUZI HAKUNA NAMNA
YAANI MWANAMKE AKIFIKIA HATUA YA KUPANUA MAPAJA KWA JAMAA NJE, UJUWE AMEKUDHARAU SANA NA HAJAUANZA SIKU HIYO HUO MCHEZO
INASIKITISHA SANA MKUU KUNA MALAYA WA AINA TAFAUTI SIKU HIZI MWAMBIE AWE MAKINI
UYO MWANAMKE THAMANI YAKE SIO KUOLEWA, SIO KILA MWANAMKE THAMANI YAKE NI KUOLEWA.. HUYO THAMANI YAKE NI IYO KUJIPIGIA UKASEPA (tumefikia mahali pabaya sana)
MWAMBIE APIGECHINI HAKUNA NAMNA PIGA CHINI
WAPO WENGI HAO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Msemo wa kitanda hakizai haramu tunautumia vibaya........ Kitanda hakizai haramu ina maanisha mtoto sio kitu kibaya so hata akija wakati haumuhitaji usijeukamlaani au kuona ni mikosi au tatizo kuwa nae huo wakati......Kitanda hakizai haramu, Yaliyotokea yametokea msamehe maisha yaendelee
Maajabu ya mapenzi utakuja kulea damu ambayo si yako na inawezekana ukajua kabisa usiwe na la kufanya achana na kupenda hapa mnajidanganya tu.Msemo wa kitanda hakizai haramu tunautumia vibaya........ Kitanda hakizai haramu ina maanisha mtoto sio kitu kibaya so hata akija wakati haumuhitaji usijeukamlaani au kuona ni mikosi au tatizo kuwa nae huo wakati......
Ila sio kitanda hakizai haramu umekwenda kutombwa na mwanaume huko unaleta mimba kwangu...... Aiseee MUNGU akulinde tu usije ukathubutu ntakufanya kitu hutaamini.......
Mtoto anaezaliwa nje ya ndoa halali anaitwa bastard utasemaje ni sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina haja.... Hapo atabeba dhambi mbili, kwanza atakuwa ameuwa kiumbe kisicho na hatia...... Awaache wakalee mtoto maana huo sio ujauzito wake....People walk out of marriages yes, but hadi kuruhusu shahawa zifike kwenye uterus yako ziwe siku safe au za hatari ni kukosa busara kabisa!
Katoka nje kwamba jamaa mbegu zake si imara, kwamba hazirutubishi? Kwa miaka 10 zimekuwa zikifia njiani kipindi zinaelekea kwenye uchavushaji? Maana miaka 10 nayo mingi, japo kuzaa ni majaliwa.
Au mama anajua hata mtoto wa kwanza (marehemu) alikuwa si wake, hivyo amefanya hivo kumfichia jamaa yako/wew aibu?
Ushauri.
1.Kwa kuwa mimba ni ya miezi miwili aisafishe, aanze upya na mme wake! Apige tako kama alilopiga kwa mchepuko iingie.
2. Kama hawezi akaolewe na huyo mtia mimba, afu jamaa aanze upyaaaaaaaaa! Ila ajitahidi atie mimba mapema, miaka kumi ni mingi mono, akidelay stori itajirudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau?
Moj kwa moja najitakita kwenye maada husika! Kuna mshikaji wangu kanifuata kuomba ushauri, lakin cha ajabu nimeshindwa kumshauri kabisa!
Kisa chenyewe kiko hivi: Mshikaji wangu ana mke wake walioishi nae kwa miaka kumi, (walioana tangu mwaka 2010), lakin kwa muda huo walijaaliwa kupata mtoto mmoja, bahat mbaya mtoto huyo alidumu kwa siku Saba toka azaliwe, baadae alifariki dunia.
Cha ajabu ni kwamba mwanamke ameenda kudate (kuchepuka) na mwanaume mwingine na akalewa ujauzito, mshikaji amegundua na alivyombana mkewe amekiri kuwa ni kweli.
Mshikaji Bado anaishi na huyo mke lakini mpaka Sasa anazidi kubaki njia panda, anashindwa amfanye nini huyu mwanamke kwa aibu aliyomletea ndani.
Ujauzito una miezi miwili Sasa!
Wadau, nisaidieni nimshauri nini huyu jamaa?
Karibuni tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atubu halafu afanyaje, kubabake atachezea banzi moja hilo nusu niuweWazinzi na warawiti hawata uona ufalme wa Mungu.Amwache mpaka akitubu,maana kukubali sio kutubu hivyo inawezekana kasha jihalalishia.
We nawewe unaongea vitu gani, kama mtu hapati mtoto ndio unaamua kwenda utombwe nje, halafu ukiitwa malaya unasema mwanamke anadhalilishwa...... Huo umatako huo mnaendekeza....Utakuta huyo mwanaume hana nguvu za kuzalisha!!! Miaka 10 hawajapata mtoto tena baada ya huyo kufariki, hata mtoto wa nje hana? Labda mke kachoka kua mpweke akaamua kuongeza familia[emoji16] kabla hajafanya maamuzi aende hosp kwanza akacheki afya yake.. ukute hata huyo mtoto aliyefariki hakua wa kwake [emoji1437]
Maneno yote ya nini ndugu? Mimi sina akili vizuri mpenzi wangu..ila tu niwaambie kuwa mtazidi kufanyiwa yale yote ambayo huwa mnawafanyia wake/wapenzi wenu. Hatutaogopa maneno, kuachwa wala kuchomwa na magunia mawili ya mkaa.Hivi mpenzi una akili sawa sawa?!
Hivi ukatombwe huko mimi nije kulea damu sio yangu.....?!
Mimi nikileta mtoto ambae sie wako utalea kwa gharama zangu na sitakusumbua kuhusu kumleta mama mtu katika uhusiano wetu maana mtoto atakuwa wetu na tutalea sisi pamoja.
Ila wewe ukitombwa ukazalia nje, ukaniletea damu sio yangu, yaani mimi natoa hela ya chakula, mavazi, ada, na matibabu kulipia mtoto ambae in future atakuja jua tu kuwa baba yake yupo..... Na hata ikatokea tumekorofishana tukaachana unadhani huyu mtoto atabakia na mimi, si atakufuata mama yake, na wewe unadhani utamwambia mazuri kuhusu mimi, si utanichafua na utamuelekea baba yake waendelee mimi hapo nakuwa nimefanya kazi ya kanisa..... Nani anataka huo ufala....?!
Msipende kulinganisha wanaume na wanawake inapokuja issue ya maswala ya ndoa... Hatulinganishwi katu.... Na si kwamba mwanaume kapendelewa ni nature ya jamii sababu kuna vitu ambavyo hata sisi wanaume tunaona wanawake mnapendelewa ila tunakubali sababu tunajua ninyi ni wanawake na mna utofauti na sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaaaah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumanina walahi....... Unajua sio kila mtu anaeongea sana matendo hana. Aiseee huyo mwanamke sijui awe amenifanyaje kwasababu hata kama ni kuniloga dawa zitakata fastaMaajabu ya mapenzi utakuja kulea damu ambayo si yako na inawezekana ukajua kabisa usiwe na la kufanya achana na kupenda hapa mnajidanganya tu.
Utayakumbuka maandishi yangu wewe jipe moyo.Aaaaaaaah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumanina walahi....... Unajua sio kila mtu anaeongea sana matendo hana. Aiseee huyo mwanamke sijui awe amenifanyaje kwasababu hata kama ni kuniloga dawa zitakata fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple mbona? Ampe ushirikiano mke wake wamtunze na kumlea mtoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio sahihi lakini wengi wenu mnaona sawa, na wanawake wengi wanakubali kulea watoto ambao sio wa kwao.Mkuu kwahiyo mke akimletea jamaa watoto ambao sio wake awalee we utaona ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi na iwe vita mwisho wa siku mnaoumia ni ninyi. Kama alikutomba ukiwa na mimi then akakuchukua unadhani yeye hana akili na hajui kuna kutombewa, atakuweka ndani ila kaa chonjo muda wowote utashangaa umeachiwa manyoya....Maneno yote ya nini ndugu? Mimi sina akili vizuri mpenzi wangu..ila tu niwaambie kuwa mtazidi kufanyiwa yale yote ambayo huwa mnawafanyia wake/wapenzi wenu. Hatutaogopa maneno, kuachwa wala kuchomwa na magunia mawili ya mkaa.
.
.
Endelea kuwa mwanaume na mentality kama hizo lakini mambo yataendelea kuwa moto. Poleni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kavukavu yaani
We nawewe unaongea vitu gani, kama mtu hapati mtoto ndio unaamua kwenda utombwe nje, halafu ukiitwa malaya unasema mwanamke anadhalilishwa...... Huo umatako huo mnaendekeza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe nikuulize hivi utakuwa mtu unaakili gani kuishi ma mwanamke ambae umejua ameshaliwa nje..... Mimi nadhani nitakudhuru tu hapo ndani maana sina huo uvumilivu.....Utayakumbuka maandishi yangu wewe jipe moyo.