Sawa mkuuAisee mpe pole Sana Mkuu, Mtihani mzito Sana huo
Ushauri wangu
No way,Hap Aweke Mambo Wazi Ampige chini huyo Mwanamke
Atafute Chuma Nyingine
Japo kampotezea muda Sana Aisee 10yrs
Ingekuwa maelewano Sasa bahat nzur wote wanauwezo wa kupata mtoto!Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief mbon unageuza character, ningekuwa mm kwann nisivae uhusika? Basi imagine n mm, haya naomba ushaur sasaSema ni wewe usaidiwe mkuu, maana unaungaunga Sana dots[emoji23] pole sana
Okay, nahisi dada kakosa uvumilivu. Pole yake jamaaIngekuwa maelewano Sasa bahat nzur wote wanauwezo wa kupata mtoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa before hakuamni mpka alipombana mkewe, alitoa mpka namba ya simu, mwamba akampigia simu kuthibitisha, matokeo yake ikawa kweli! Jamaa alienda mbali Zaid akamtafute mpk baba wa huyo jamaa kumwelezea kisa hicho!Mkuu pole sana, kama unampenda bado mke funika kombe mwanakharamu apite, ila piga marufuku ukaribu wa hao watu wawili na mwambie mkeo asimwambie huyo jamaa kuhusu ujauzito wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana huyo mkeo alimjulisha mwamba kuwa ana ujauzito wake?Jamaa before hakuamni mpka alipombana mkewe, alitoa mpka namba ya simu, mwamba akampigia simu kuthibitisha, matokeo yake ikawa kweli! Jamaa alienda mbali Zaid akamtafute mpk baba wa huyo jamaa kumwelezea kisa hicho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ku defend ujingaMbona ninyi ndio mnazaa nje kuliko sisi umewahi kujiuliza mna matatizo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mke wang, mke wa mshikj wangu,! Alibanwa na mshikj wang, akatoa namba ya huyo mchepuko wake, jamaa ndo akatumia intelligence yake kumhoj na ikaonekan n kwel wanna mahusiano