Hivi wanawake mkoje? Au ni kweli aliyewarogeni kafa?

Hivi wanawake mkoje? Au ni kweli aliyewarogeni kafa?

Tunapenda familia zetu ndio mana tunaangaika na waume zetu hawaendi kanisani tunabeba na mizigo yao kama haitoshi watoto ndio shetani anaingilia hawaelewi hawasikii yaan kwa ufupi wanawake tunachangamoto nyingi sana..ndio jeshi kubwa la waombaji.mtuvumilie tu na pia tunakemea na pombe hizo muache wanaume ....zinatukera baadhi yetu
 
Mwanamke ni kama mzaliwa wa kwanza anatafutwa sana na shetani..wanaume mlivyo si rahisi hata kupatwa na mapepo.

Wanawake kujaa nakanosani ni kwa sababu wao ndio wamebeba hatima ya ulimwengu. Mwanamke niye anaeongoza dunia lazima aandamwe ndomana majaribu yake ni mengi.

Upuuz wa kumchukulia mwanamke kama kakosa akili kwenda kanisani muache.
Mwanamke ukimtegemea Mungu kwa dhati ya moyo wako atakutendendea yaliyo makuu.. Sio kuhama Hama kutoka kwa nabii huyu kweda kwa nabii mwingine.

Mwanaume ndo kiongozi wa mwanamke, Bila mwanaume hakuna familia inayoelewaka. ..tunawaombea wanaume zetu na kuwakabidhi kwa.mwenyezi Mungu.

Lakini kukimbilia manabii na mitume ...Kila semina hukosi wengine wanakosa hate muda wakuwa na familia zao..wapo.wanapigania ku received kwamanabii..wrong

Mjue Mungu wako Soma kitabu chako Cha Dini...muombe Mungu wako INATOSHA.
 
Tunapenda familia zetu ndio mana tunaangaika na waume zetu hawaendi kanisani tunabeba na mizigo yao kama haitoshi watoto ndio shetani anaingilia hawaelewi hawasikii yaan kwa ufupi wanawake tunachangamoto nyingi sana..ndio jeshi kubwa la waombaji.mtuvumilie tu na pia tunakemea na pombe hizo muache wanaume ....zinatukera baadhi yetu
Ongeza volume🔈🔉🔊
 
Back
Top Bottom