Hivi wanawake huwa mnajisikiaje?

Hivi wanawake huwa mnajisikiaje?

Bac kunashida mwanaume ukiona unaanza kutafuta msaada kuamsha dude ujuetayari
 
Huyo binti alitakiwa apate k vant hapo waende sawa
Hahahaaaaaaa, alianza na castle light, ilipoisha akaagiza Savana mpaka anaondoka karibu lisaa hakufika hata nusu yake,
Sijui ilimfaa...
 
Hahhahaha atakuwa anahisi leo lazma moto uwake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We hapo baa umeenda kunywa au kuchunguza watu?!
Si wajua wanaume kupepesa macho mkuu? Mara kaingia binti mkaliii kakaa meza jirani jamaa ake alikuwepo kitambo, ila kila nikimtupia jicho kuangalia uumbaji wa mwenyezi hana rahaa, kuangalia mezani nkajua keshajua...
 
Back
Top Bottom