Hivi wanaume wenzangu pesa zipo wapi

Mkuu huku jf hakuna wenye pesa kwakweli huku wapo warekebishaji tabia na maadili yakazi uwapo kazini kwa watu wenye kazi na kuwafunza watu jinsi yakuishi vizuri ktk ulimwengu huu tulio nao pamoja nakuwashauri vitu vizuri viongizi wa nchii ikiwamo kuwakosoa pindi wanapokosea. Sasa wewe ikiwa unataka kujua ilipo PESA twende bank tukawaulize ma teller wapi pesa zipo au waweza fika BOT Kwa maelezo zaidi.
 
Sizitaki za BOT wala za ma teller .!!
 
Hela ipo, ni suala la muda tu . Na vile vile walk slowly toward your goals, hata kama umechoka keep walking. Ipo siku isiyo na jina, unajikuta na wewe umepanda first class unaagiza msosi wa mdada wa KLM, Etihad, Fly Emirates au Delta.
 
Haha aisee..acha tu
Hela ipo, ni suala la muda tu . Na vile vile walk slowly toward your goals, hata kama umechoka keep walking. Ipo siku isiyo na jina, unajikuta na wewe umepanda first class unaagiza msosi wa mdada wa KLM, Etihad, Fly Emirates au Delta.
 
Pesa zote unazoona wanatumia si kwamba wamezitafuta sasa, pesa nyingi watu walipiga enzi za jakaya saizi wemebakisha matumizi TU.
 
Kaa ndani jifungie chumbani tukana serikali mitandaoni asubuh Hadi jioni kwa mwaka mzima,michongo itaanza kuja taratibu
 
Haya matumizi uliyoyataja yako kwenye BONGO MOVIE.
 
Hili ndo jibu sahihi
 
Pesa zipo kwa mungu,,,Fanya kazi kwa bidii mwombe mungu atakupa.
 
Mkuu sikubaliani na wewe, vitabu vya Napoleon hill, vinakuinspire tu but the game to success katika mifumo ya nchi za kiafrica lazma
1. Uwe mkwepa Kodi, ufanye biashara za madili, madawa ya kulevya, Rushwa/ufisadi etc
2. Urithi Mali
3. Ushirikina/ Bahati

Mkuu pesa za kuitwa tajiri ni vigumu Sana kuzipata kwa mifumo yetu hii ya kiafrica kihalali ukijatahidi Sana utapata Kigali kimoja na nyumba ya kuishi tu na pesa za kubadilishia mboga lakini sio utajiri
 
Tatizo la maskini huona tajiri kapendelewa sijui mshirikina mara freemasons sijui fisadi. Hayo mawazo ya kimaskini unaweza ukawa na elimu lakini ukawa huna ujasiri wa kujiajiri. Ndio maana wasomi wengi wa kiafrika wanaamini kuajiriwa na sio kujiajiri. Huwezi kuwa mchezaji mzuri kama hufanyi mazoezi, kama ushirikina unafanya kazi kwanini waafrika hatufanikiwi??. Mwenye kutafuta hulala muda mdogo lakini hutafuta mafanikio muda mwingi. Mfano watanzania wengi hawakubali kuekeza(ku invest) lakini hata Mo dewji utajiri wake mkubwa umetokana na hilo. Kuna dogo hapa Tz alianza ku invest kwenye cryptocurrency tokea bitcoin ipo $5 leo ukimuona ana miliki nyumba gari na kila miezi 4 anashusha container 3 za biashara zake. Sio kila anae fanikiwa awe na mambo kama hayo uliyo yataja, tatizo letu hatutumi muda kuwaza kujiinua. Kutwa tunawaza mipira,movies,bongoflava sijui porn na udaku. Hili ndio tatizo letu uwezi kukaa na bata akakufundisha kuruka jaribu kukaa na ndege wanao ruka.


Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Dogo inaonekana hujui na hujaelewa nilichoandika na ukikua utajua....huyo mo dewji unaemzungumzia kavikuta.

Subiri ukue utajua zaidi,maana mawazo yako unadhani watu hawafanyi kazi as if huwa wanakutegemea wewe uwapelekee mahitaji
 
Daah !! Hapo labda nichague ushirikina( on the process) au kujuana na wakubwa serikalini.. i have made up my mind ..this is too much
kwa hiyo mkuu upo tayari kutoa kafara/kikoa ndugu yako?
 
Daah !! Hapo labda nichague ushirikina( on the process) au kujuana na wakubwa serikalini.. i have made up my mind ..this is too much
dah, kweli life tight, unadiriki kuwaza kumuweka bond ndugu kwa mizimu!
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…