Na kujiongezaPesa ni siri ya mfuko.
Utafutaji na bidii ndiyo siri ya kuzipata
Wanaume wenzangu embu tuulizane kiutu uzima ..wale watoto wa chini ya miaka 18 mkae pembeni kidogo, wakubwa zenu tuongee..
Okey wanaume wenzangu hivi pesa zipo wapi, wengine wanazipata wapi aisee..watu wananunua migari ya mamilioni ya mashilingi, mtu anakuambia yeye kutumia milioni moja kwa siku sio ishu, ,yale madege makubwa ya Emirates first class anayapanda kila wiki, leo Ugiriki, kesho visiwa vya Maldives Spain, mara Bahamas, ananiambia tena ,,."mkuu pem...eti ananiita mkuu ...mkuu pem mimi nakaa hotel za kulipa milioni 20 kwa siku huko visiwa vya Maldives uhispania..nabaki kumeza mate tu. Sijaongea nyumba na yard ya magari ... Alhamdullilah uwii
Mara shopping yake kila wiki anamaliza milioni hamsini ..kama kununua saa tu ananunua saa ya dola laki moja tu..bado nguo, viatu..najiuliza kuna mahali labda wati wanajichotea mihela wenzangu..unaenda na lindoo lako lile la bafuni la kuogea unachota unaondoka zako..mana sio kwa kufuru hizi daah...mara katika hali.ya kushika tama na kumuangalia mara "kaka usisikitike sana..huku anacheka ..chukua basi hii dola 100 ya vocha"
Nasema kimoyomoyo..dola 100 ni ya vocha kwake??
Wanaume wenzangu embu tudiscuss hii issue kwa userious mkubwa sana..anyway kama una uchu na kusaka pesa karibu tujadili
Daah !! Hapo labda nichague ushirikina( on the process) au kujuana na wakubwa serikalini.. i have made up my mind ..this is too muchDawa za Kulenya + Ukwepaji Kodi + Kujuana na Wakubwa Serikalini + Ushirikina / Kafara + Freemasons + Kuiba / Ujambazi + Utoaji / Upokeaji Rushwa + Utapeli / Usanii + Umalaya kwa Mtoto wa Kike + Kuingiliwa Kinyume na Maumbile kwa Mtoto wa Kiume = Utajiri huo mkubwa nchini Tanzania.
Alasiri njema Mkuu.
Wanaume wenzangu embu tuulizane kiutu uzima ..wale watoto wa chini ya miaka 18 mkae pembeni kidogo, wakubwa zenu tuongee..
Okey wanaume wenzangu hivi pesa zipo wapi, wengine wanazipata wapi aisee..watu wananunua migari ya mamilioni ya mashilingi, mtu anakuambia yeye kutumia milioni moja kwa siku sio ishu, ,yale madege makubwa ya Emirates first class anayapanda kila wiki, leo Ugiriki, kesho visiwa vya Maldives Spain, mara Bahamas, ananiambia tena ,,."mkuu pem...eti ananiita mkuu ...mkuu pem mimi nakaa hotel za kulipa milioni 20 kwa siku huko visiwa vya Maldives uhispania..nabaki kumeza mate tu. Sijaongea nyumba na yard ya magari ... Alhamdullilah uwii
Mara shopping yake kila wiki anamaliza milioni hamsini ..kama kununua saa tu ananunua saa ya dola laki moja tu..bado nguo, viatu..najiuliza kuna mahali labda wati wanajichotea mihela wenzangu..unaenda na lindoo lako lile la bafuni la kuogea unachota unaondoka zako..mana sio kwa kufuru hizi daah...mara katika hali.ya kushika tama na kumuangalia mara "kaka usisikitike sana..huku anacheka ..chukua basi hii dola 100 ya vocha"
Nasema kimoyomoyo..dola 100 ni ya vocha kwake??
Wanaume wenzangu embu tudiscuss hii issue kwa userious mkubwa sana..anyway kama una uchu na kusaka pesa karibu tujadili
Daah aise!! Hio cha mtoto mkuu...Kaka we acha tu na hizi njaa,,,,unakumbuja yule mama aliyetumia milioni 10 kununua mboga asee ungekuwa wewe,mimi au yule ungejipongeza na kuipiga mahesabu ya vitu karibu 20
Daah !! Hapo labda nichague ushirikina( on the process) au kujuana na wakubwa serikalini.. i have made up my mind ..this is too much
Mkuu kwanini uuukubali umasikini ?? Huoni unajikosea heshima..umasikini ni mateso, ni mawazo, hio amani watu wanaoisema nimefanya utafiti ..hamna amani yoyote ..Mkuu si unataka ' Utajiri ' wa Kutukuka? Sasa kwanini unachagua Vipengele? Ni kwamba ili ' Utajirike ' kama utakavyo yakupasa Kuvikidhi hivyo Vipengele vyote nilivyovitaja hapo bila kuacha hata Kimojawapo. Wewe unadhani Mimi GENTAMYCINE nilivyokubaliana na Matokeo kwamba ni bora tu nibaki na huu huu Ukapuku / Umasikini wangu ( ambao hata hivyo nimeshauzoea sasa ) nilikuwa nimekengeuka / nimekosea?
Mkuu kwanini uuukubali umasikini ?? Huoni unajikosea heshima..umasikini ni mateso, ni mawazo, hio amani watu wanaoisema nimefanya utafiti ..hamna amani yoyote ..
Mkuu ulishaingia sehem mfukoni kwako ukiwa na milioni moja au laki tano tu..embu niambie hisia ulizokua nazo ..pia niambie ulishaingia mahali ukiwa na elfu moja na mia mbili ..je ulikua na hisia zipi
Basi mkuu kwa hili itabidi tutengane ..mimi niendelee na safari ya kuutafuta utajiri uliotukuka.Kwahiyo ' unanihamasisha ' kuwa nami niifuate hiyo ' Formula ' niliyokupa hapo juu Mkuu au? Bora nibakie tu na huu huu ' Umasikini ' wangu kuliko kuwa ' Mtumwa ' wa ' Kiutu ' kama hivyo.
Asante mkuuTatizo watu wengi wanapenda sifa lakini siku ukimwambia nioneshe mzunguko jinsi unavyo ingiza hio hela hapo anapotea. Yes hela ipo lakini sifa zimezidiiii
Nikija kwenye hela ipo wapi:- Unapotaka kufanikiwa
1 Soma vitabu vya kuleta mafanikio.
2 Kuwa na rafiki walio fanikiwa usiombe samaki, mwambie akufunze jinsi ya kuvua samaki.
3 Badilisha maisha ya kukaa na watu wasio na vision ya maisha.
4 Punguza starehe na panga njia za mafanikio na kuwa na deadline yake.
Njia kuu ya mafanikio tumia hela izalishe hela, hapa naongelea ku invest na sio kutumia nguvu ili upate pesa.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nakupa nyongea utakapo pata hela tafuta njia za kuajiri watu mikono miwili itaingiza laki 1 mikono kumi itaingi laki 5. Hapa namaanisha ukisha fanikiwa tafuta biashara ya kuwaajiri watu, hawa watatimiza ndoto ya maisha yako. Wewe unawalipa mshahara wa laki 3 lakini wao wanakuingizia million 20. Kumbuka usiwe mfanyakazi wa kampuni yako kuwa mmiliki wa kampuni yako.Asante mkuu