Hivi wanaume wenzangu nani kawaloga?

Hivi wanaume wenzangu nani kawaloga?

Mkuu waandike majina wote wale waliorogwa halafu uwalete kwangu niwafanyie manyanga tuwatoe hao maruhani wanaowasumbua...

Hakikisha ukiwa waja kwangu uwe na sharubu za simba, kucha za chui, chozi la mamba na vyote uvifunge kwenye kitambaa chekundu...

Ukishindwa hivyo unaweza kuleta mkaa wa mgomba, mizizi ya mawe, embe la kwanza kudondoka kwenye mwembe wowote ule...
Aah mgangaa, mganga we anahitaji msaada huyo.
 
hahahaaaa umenikumbusha clip ya fumanizi mweeee hata wew umerogwa coz unafuatilia mambo ya wanaume wenzako
 
Yaani huu ni uboya, hebu zungumza vya kueleweka....
 
Mkuu waandike majina wote wale waliorogwa halafu uwalete kwangu niwafanyie manyanga tuwatoe hao maruhani wanaowasumbua...

Hakikisha ukiwa waja kwangu uwe na sharubu za simba, kucha za chui, chozi la mamba na vyote uvifunge kwenye kitambaa chekundu...

Ukishindwa hivyo unaweza kuleta mkaa wa mgomba, mizizi ya mawe, embe la kwanza kudondoka kwenye mwembe wowote ule...

Chozi la mamba ndugu yangu mbona balaa hili.
 
jamaa kadunguka kweli ila kuna wa2 wanajitia kutoelewa hapa.........hebu kama we n mwanaume ish kama mwanaume na sio kama mvulana tena wa 4m3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom