Hivi wanaume wenzangu mnawaelewa wanawake kweli? Soma kisa hiki

Sasa mkubwa...Ulivyotest ziwa nyasa, ukaona haitoshi wewe ukatest na ziwa victoria..iaisee hapo kueleweka ni ngumu!
 
mwana kuli find ... mwana kuligetiii

duuhh ukabinya binyaaa tuuuu si ungemalizia kugegeda?
 
Hivi kwanin wanawake sio waelewa.. Embu cheki huu mkasa umetokea asubuhi hapa nyumabani kwangu..

Mke wangu alitoka kaenda sokoni kamuacha mtoto kitandan na mim tukiwa bado tumelala.. Mara mtoto akaamka na kilio juu.. Nimembembeleza ila wapi bas ikabidi nimuite dada wa kaz..

Dada wa kaz akam beba mtoto akaenda nae chumban kwake.. Mara dakika mbili mtoto halii tena ametulia, ikabidi nitoke niende kungalia mbn mtoto kanyamaza kwa haraka ivyo.. Kunanin?

Nikaingia chumba cha dada wa kaz nikakuta dada wa kazi kampa nyonyo mtoto wangu, nikapanik na kumuhoji kwa hasira kwanin anafanya hivyo? dada wa kaz akanijibu kwa upole, matiti yangu hayana kitu nimempa tu mtoto ili anyamaze..

Mhh nikakuna kichwa.. Ikabidi nimsogelee nihakikishe kuwa kwelihayana kitu, akanipa titi la upande wa kulia nikalishika vizuri nikalinyonya kwa dakika mbili kweli nikaona hamna kitu, nikashika lile la kushoto nikanyonya pia kwa dakika 2 kweli halina kitu.. Nikabinya binya kidogo na kuyalamba tena kidogo kwa dakika 5 kweli nikajiridhisha hayatoi maziwa.

Kumbe mda huo mke wangu alisharudi yupo kwa mlangoni akiangalia tukio zima. Jaman eti anataka kuondoka na watoto na dada wa kaz.. Sasa dada wa kaz aondoke kwan ugomv una muhusu nn?

Eti jaman kuhakikisha afya ya mtoto ni kisa? Wanawake mlio kwenye ndoa kuweni waelewa basi..
Nilikua na stress sana ila nimejikuta nacheka kwa furaha,,umewezaje huo ujinga
 
nimecheka sana, sasa mkubwa dakika 10 zote hizo mana ziwa moja dakika 5 na ziwa jingine dakika 5 uyo beki tatu alikuwa alembui kweli na vp kuhusu mtoto alikuwa analia au mana umeiba liziwa lake
 
Nimewaza kijinga jinga kama jamaa hapo juu!!!

Assume wakati huo ndiyo huyu mwanao ameshakuwa mkubwa itokee siku mkeo amuhisi mdogo ako wa kiume au house boy wenu hapo nyumbani alitaka kumbaka ila kijana akakataa madai mnara hausomi sasa ikabidi mkewe ajiridhishe kweli hasimamishi?

Sasa ndo amerudi akakuta mkewe anauchezea kisha akamwambia sababu ya yeye kufanya hivyo jamaa ataelewa?ila hii ni chemsha bongo sidhani kama ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swala ndio jibu la swali la mwenye uzi....
 
Hivi kwanin wanawake sio waelewa.. Embu cheki huu mkasa umetokea asubuhi hapa nyumabani kwangu..

Mke wangu alitoka kaenda sokoni kamuacha mtoto kitandan na mim tukiwa bado tumelala.. Mara mtoto akaamka na kilio juu.. Nimembembeleza ila wapi bas ikabidi nimuite dada wa kaz..

Dada wa kaz akam beba mtoto akaenda nae chumban kwake.. Mara dakika mbili mtoto halii tena ametulia, ikabidi nitoke niende kungalia mbn mtoto kanyamaza kwa haraka ivyo.. Kunanin?

Nikaingia chumba cha dada wa kaz nikakuta dada wa kazi kampa nyonyo mtoto wangu, nikapanik na kumuhoji kwa hasira kwanin anafanya hivyo? dada wa kaz akanijibu kwa upole, matiti yangu hayana kitu nimempa tu mtoto ili anyamaze..

Mhh nikakuna kichwa.. Ikabidi nimsogelee nihakikishe kuwa kwelihayana kitu, akanipa titi la upande wa kulia nikalishika vizuri nikalinyonya kwa dakika mbili kweli nikaona hamna kitu, nikashika lile la kushoto nikanyonya pia kwa dakika 2 kweli halina kitu.. Nikabinya binya kidogo na kuyalamba tena kidogo kwa dakika 5 kweli nikajiridhisha hayatoi maziwa.

Kumbe mda huo mke wangu alisharudi yupo kwa mlangoni akiangalia tukio zima. Jaman eti anataka kuondoka na watoto na dada wa kaz.. Sasa dada wa kaz aondoke kwan ugomv una muhusu nn?

Eti jaman kuhakikisha afya ya mtoto ni kisa? Wanawake mlio kwenye ndoa kuweni waelewa basi..
Huu sasa ni ukapteni na sio ubaharia tena.
Ahahahahah
 
Mods... I hope mlishasoma huu upuuzi unaojaza servers za jF na sasa mpo katika kikao cha kuufuta.
Are you uncultured?? Hili jukwaa linaitwaje wewe mpumbavu?? Kuna watu wanakera sana aisee
 
Back
Top Bottom