Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Waacheni
Wewe bado sana, nilijua unamaliza kilo moja ya ugali kumbe hamna kituRobo Tatu...
Unakunywa bia au pombe?Bia za offer mbaya sanaaa
Kula sana si inategemea kazi unayofanya? Au unafikiri kila mtu ni mkulima wa jembe la mkono? DJ huwezi mfananisha ulaji na mbeba zege.... Hivi mkiwa mikoani ndio mnadumaa akili hvyo? Ukandamize uvali robo tatu halafu unaenda kukaa ofsini unataka chakula kiende wapi kama sio kitambi mchupio then akianza mazoezi unasema mwanaume wa dar wanajikimbiza barabarabi?Halafu Unajiona Umekula Chakula Cha Nguvu wakati hata Kwenye Balance Diet hakipo... Kweli Dagaa Wakuhesabu na Kachumbari na Ugali wa Mtoto... Halafu hata Haumwi ni Mzima Wa Afya Kabisa
Mnatia Hasira ... Na Kungekuwa na Vimbunga Dar Tungekuwa tunawaona Hewani mnapaa Kwa Kuwa Wepesi wepesi
![]()
![]()
Huo ni kilo unusu....
Kimiminika ni chumvi na ndimu mkuu.... Ukisema ushushie na maji tonge tatu nyingi ushashibahahahah mkuu mbona hata kimiminika hakuna...ugali mkavu, mboga kavu!!!!