Hivi wanaume wa Dar mtaacha lini kula hivi?

Hivi wanaume wa Dar mtaacha lini kula hivi?

Rangoo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
99
Reaction score
114
Halafu Unajiona Umekula Chakula Cha Nguvu wakati hata Kwenye Balance Diet hakipo... Kweli Dagaa Wakuhesabu na Kachumbari na Ugali wa Mtoto... Halafu hata Haumwi ni Mzima Wa Afya Kabisa

Mnatia Hasira ... Na Kungekuwa na Vimbunga Dar Tungekuwa tunawaona Hewani mnapaa Kwa Kuwa Wepesi wepesi

63d977905400d99bb83fb1e7c4edbbca.jpg
 
Pengine mfuko wake ndio umeweza kumiliki kiasi hicho cha msosi. Halafu huyo Romyjons si dj wa mkoani kaletwa na Diamond mjini??[emoji15]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Moja kwa moja kwenye maada

Katika hali ya kustaabisha wingi na ongezeko la wa wakina mama na akina dada wenye vitambi linazidi kukua miaka ya nyuma ilikuwa gumzo kumuona mwanamke anakitambi..
Leo kuona mama amekaa kibarazani anakuna kitambi linaanza kuzoeleka lakini swali ni je hili swala serikali hawalioni?
Je wakina mama watakapoanza kuchomekea suruali zao za suti watukunie vitambi kwenye mihadhara si itakuwa fedheha kwetu ss wanaume?
Sawa hatukatai kwenye swala la kuvaa suruali tulikubali japo kwa shingo upande na vitambi tena?
Kinachonipa wasiwasi kwanini wengi wa akina dada wanaomilki vitambi ni wa mijini?
Tunakoelekea tutashindwa kutofautisha nani ana mimba na nani hana...
Nasema hivi kwa hili wanawake mmechemka na mnajizalilisha swala la vitambi si lenu
Vitambi vinakua kuendana sambamba na ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Tuiombe Siri-kali ipunguze ukuaji wa uchumi kwa mwendokasi ili kupunguza tatizo la Kwashiorkor kwa wakina mama na akina dada..

image002.jpg
 
Daah, km ndio hivyo bhaaac wanaume wa dar 2na kazi kweli kweli..kwahiyo unatushaurije mkuu,,
 
Vitambi vinakua kuendana sambamba na ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Tuiombe Siri-kali ipunguze ukuaji wa uchumi kwa mwendokasi ili kupunguza tatizo la Kwashiorkor kwa wakina mama na akina dada..

image002.jpg
Bia za offer mbaya sanaaa
 
Halafu Unajiona Umekula Chakula Cha Nguvu wakati hata Kwenye Balance Diet hakipo... Kweli Dagaa Wakuhesabu na Kachumbari na Ugali wa Mtoto... Halafu hata Haumwi ni Mzima Wa Afya Kabisa

Mnatia Hasira ... Na Kungekuwa na Vimbunga Dar Tungekuwa tunawaona Hewani mnapaa Kwa Kuwa Wepesi wepesi

63d977905400d99bb83fb1e7c4edbbca.jpg
Kijana, hii kitu ni ya kushtulia kabla ya mlo wenyewe.
 
Mwenzako halimi kama we we.anaingiza hela kwa kutumia akili.ndo maana hata misosi yake ya kawaida na ana afya tele.huku mjini akili 99% nguvu 1%.miguvu yako bakia nayo shamba ukimbizane na mang'ombe.
 
mbona menu heavy sana hiyoo, unakula kidogo unaacha sehemu ya maji sasa we unataka upe mpaka ukae hapohapo hadi uje uinuliwe
 
duuuh..
hili neno wanaume wa dar!! linanikera
 
Halafu Unajiona Umekula Chakula Cha Nguvu wakati hata Kwenye Balance Diet hakipo... Kweli Dagaa Wakuhesabu na Kachumbari na Ugali wa Mtoto... Halafu hata Haumwi ni Mzima Wa Afya Kabisa

Mnatia Hasira ... Na Kungekuwa na Vimbunga Dar Tungekuwa tunawaona Hewani mnapaa Kwa Kuwa Wepesi wepesi

63d977905400d99bb83fb1e7c4edbbca.jpg
Kwani unakula ujaze tumbo au unakula uishi? Pata Chakula bora, na sio bora chakula
 
Back
Top Bottom