Hivi wanaume nani aliyeturoga?

Hivi wanaume nani aliyeturoga?

Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri
kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda
ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda

Na ni mtu wa dini, kituko unaweza
ukamuacha kisa hana tako kubwa wanaume tunakwama wapi mi hata sielewi yaani.

mwanamke bila tako wa nini bwana wewe......raha ya dunia ipo hapo kwenye tako....yaani bonge la vibration.
 
Wanch wanch cheche fasi ya dwasi unaprint mpaka darsalade unaingia chocho unakutana na hii mama...
20181210_092521.jpeg
 
siku zote binadamu hutafuta asichokuwa na umiliki nacho japo kwa muda tu
 
Back
Top Bottom