Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Habari humu ndani...
wanaume nisaidieni jamani na wadada pia,maana nakuwa kama sielewi elewi,hivi mnapoamua kuoa au kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mnaemchagua mwenyewe mpaka ndoa huwa mnaangalia nini?!..
nauliza hivi kutokana na kinachoendelea hapa mtaani kwetu,kuna wadada wa tatu,wawili kiumri wanaenda miaka 30 sasa,na mmoja ana 26,hao wawili ni warembo balaa,wazuri,wana shepu za hatari,hadi wanaitwa visu,kitabia nawaona kawaida tu...lakini hadi leo hakuna hata dalili za mnuso wala ndoa wapowapo tu wenyewe wanadai mda wao bado,huyo mwenzao sasa,chembambaa,pasi si pasi,akisimama
mbele kama nyuma,viziwa kama havipo vile.sura ngumu..lakini navyoandika hapa tupo jikoni tunarekebisha mambo ya tumbo!!.anachukuliwa na rubani.
Kila mtu ana taste zake. Ila Wengi tunaangalia mindset ya huyo mwanamke. Mara nyingi unakuta mwanamke mzuri kweli kweli lakn kichwani amejaa michuzi tu, nyodo nyingi na kupenda miteremko, kujiona wao ni wa kuolewa na matajiri tena akiwa amesoma ndio its more worse wansahau kwamba life is a struggle and with a good partner ni rahisi ku win this struggle. Kama unatabia hzo za kupenda kitonga badilika ndugu orelse utangoja sana kuolewa. Marriage is a bond between two people m/mke na m/mme (more of a partnership, ni makubaliano ya watu wawili m/mke na m/mme wanaojitambua na kuwa na malengo na maisha yao) Wanawake wengi wanaojiona wazuri wanaishia kupigwa nao tu lakn mtu anaejitambua hamuweki ndani hata siku moja anaenda kuoa an average looking woman. Unless huyo mwanamke mzuri awe na sifa nlizo eleza awali. (Wanaume wengi tuna hiyo tabia).
Ni kama unavyoona wabongo wengi unakuta mtu amesoma ana ki degree au ki masters chake ukimwambia afanye biashara ya genge, kiosk, kuendesha bodaboda au bajaj anaona atadharaulika same case applies to women wanaojiona wazuri, wanajiona ni wa class flan wanasahau life is a struggle. Binafsi navutiwa sana na mwanamke anayejua kutafuta pesa (fighter). Na mbona watangoja sana kuolewa nakwambia unless wabadilike.