Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

Kudekezwa udenda umentoka

unapenda kudeka eeh! ngoja nimbembeleze mme wangu Magombe Juniour aniachie leo nije nikudekeze vizuri,unilalie kifuani mpaka asubuhi....
 
aah nakumbuka uliniambia kasura kangu kamekaa kitoto~toto unakapenda na huku nyuma ndo kunakokuchanganya zaidi...sasa sijui ndo ulivyoangalia!!.

Exactly!!!!....na kitabia uko poa....haouombi ombi ela etc...
 
Exactly!!!!....na kitabia uko poa....haouombi ombi ela etc...

na wewe ulivyomuelewa na unavyonisikiliza napendaje!!...kama leo baby naomba ruhusa nikampe kampani Nokia yupo lonely halafu alinipigia eti hajisikii vizuri mme wangu
 
Kwanza, hao visu wanahitaji ndoa?

Na kama wanajitaji, wanahitaji wenza wa aina gani? Na aina ya watu wanaowahitaji wapo kwenye mzunguko wao wa maisha?

Na kama wapo, hao wenza wanahitaji aina ya wadada kama hao visu?

Kimahusiano ya kimapenzi, binadamu tuko tofauti. sana.

Kwangu bikira ilikuwa kigezo muhimu na niliipata.
 
Mi naona kila mtu ana kitu ambacho anapenda toka kwa mtu so vinatofautiana kwa mtu na mtu
 
Huyo ambae unapika nae ni air hostess nn,,km ni hvyo bac na huyo rubani anaweza kuwa mzungu,,nawaza tuu!
 
Habari humu ndani...

wanaume nisaidieni jamani na wadada pia,maana nakuwa kama sielewi elewi,hivi mnapoamua kuoa au kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mnaemchagua mwenyewe mpaka ndoa huwa mnaangalia nini?!..

nauliza hivi kutokana na kinachoendelea hapa mtaani kwetu,kuna wadada wa tatu,wawili kiumri wanaenda miaka 30 sasa,na mmoja ana 26,hao wawili ni warembo balaa,wazuri,wana shepu za hatari,hadi wanaitwa visu,kitabia nawaona kawaida tu...lakini hadi leo hakuna hata dalili za mnuso wala ndoa wapowapo tu wenyewe wanadai mda wao bado,huyo mwenzao sasa,chembambaa,pasi si pasi,akisimama
mbele kama nyuma,viziwa kama havipo vile.sura ngumu..lakini navyoandika hapa tupo jikoni tunarekebisha mambo ya tumbo!!.anachukuliwa na rubani.

wewe umeolewa? kama ndio mumeo aliangalia nini kwako? kama hujaolewa nitarudi
 
Habari humu ndani...

wanaume nisaidieni jamani na wadada pia,maana nakuwa kama sielewi elewi,hivi mnapoamua kuoa au kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mnaemchagua mwenyewe mpaka ndoa huwa mnaangalia nini?!..

nauliza hivi kutokana na kinachoendelea hapa mtaani kwetu,kuna wadada wa tatu,wawili kiumri wanaenda miaka 30 sasa,na mmoja ana 26,hao wawili ni warembo balaa,wazuri,wana shepu za hatari,hadi wanaitwa visu,kitabia nawaona kawaida tu...lakini hadi leo hakuna hata dalili za mnuso wala ndoa wapowapo tu wenyewe wanadai mda wao bado,huyo mwenzao sasa,chembambaa,pasi si pasi,akisimama
mbele kama nyuma,viziwa kama havipo vile.sura ngumu..lakini navyoandika hapa tupo jikoni tunarekebisha mambo ya tumbo!!.anachukuliwa na rubani.

Kwa nini unafikiri kila mtu anataka kuoa/ kuolewa? Hususan kwa umri huo.
 
Back
Top Bottom