asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Last edited by a moderator:
Jamanii eh kuolewa bahatiii! Wakiolewa wotee fursa zitakosekana
Ukiwa hujatulia b4 hujaolewa hata ukiolewa hutotulia
Sasa mnamuitaje mume kumbe hajawaoa semeni ni hawaramke mwenzangu tema mate chini/mwenzio akinyolewa we tia maji/mwenzio akilia we tulia...huyu mume wetu hatujui kama atatuoa au vipi....mi sitii neno hapo
Salama lakin?
Habari humu ndani...
wanaume nisaidieni jamani na wadada pia,maana nakuwa kama sielewi elewi,hivi mnapoamua kuoa au kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mnaemchagua mwenyewe mpaka ndoa huwa mnaangalia nini?!..
nauliza hivi kutokana na kinachoendelea hapa mtaani kwetu,kuna wadada wa tatu,wawili kiumri wanaenda miaka 30 sasa,na mmoja ana 26,hao wawili ni warembo balaa,wazuri,wana shepu za hatari,hadi wanaitwa visu,kitabia nawaona kawaida tu...lakini hadi leo hakuna hata dalili za mnuso wala ndoa wapowapo tu wenyewe wanadai mda wao bado,huyo mwenzao sasa,chembambaa,pasi si pasi,akisimama
mbele kama nyuma,viziwa kama havipo vile.sura ngumu..lakini navyoandika hapa tupo jikoni tunarekebisha mambo ya tumbo!!.anachukuliwa na rubani.
Mezea
Next tym will tel yu
Hahahahah..huwa simezei aisee,acha uchoyo
wengi wa wanawake wazuri wanapenda starehe na makundi yasiyo na mpango hivyo hata unapotaka kukutana nae kwa mara ya kwanza hukimbilia sehemu za gharama hili sio tatizo sana ila shida ni pale kila weekend anataka kubadilisha viwanja vya kuzurura na kutumia pesa unakuta mwanamke anajua saluni nyingi bar nyingi hotel nyingi club nyingi kuliko plot zinazouzwa ili mjenge ndio maana tunakimbilia hao unaowaona hawana mvuto.
Unakuta mwanamke anapiga picha makalio anapost kwenye social network huyo nae aolewe umesikia nyumbani kwangu napiga baikoko au nafungua bendi ya muziki. Tabia za wanawake wanaojiona wazuri ni za hovyo
Hahah....Nokia83 Wewe Ni "Ke" Iweje Vaisley afali ini lavu?