Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

Bendi moja maarufu toka kenya iliyowahi kuimba wimbo maarufu wa 'vunja mifupa' imewahi kuimba wenye maudhui ya ukweli uitwao'UZURI WA MWANAMKE SIO UREMBO NI TABIA'.
 
We look at z whole menu...

Unaweza kuwa huna mvuto ila kama unakidhi kwny mechi.
 
Hahahah...u.enfraisha...jikumbushe kwako niliangalia nn ndo ujue hua tunaangalia nn
 
Hatuangaliii kitu ila tunaangalia urahisi wa kutangaza nia na nk
 
Akili,kauli,life style na marafiki wa m/mke ni miongon mwa vitu tunavyo angalia kuchagua mke.Mavazi ya gharama,uzuri, cheo/elimu,na pesa ni vigezo vinavyo tufanya kutamani m/mke;ukisha pita mara kadhaa unatafuta yule wa moyo wako(umpendae).Ajabu wanawake wanaangaikia sifa za kundi la pili!.
 
Back
Top Bottom