kwakwelimkuu kama ni mpenzi achana naye tu ni ushauri wa bure na next time usionyeshe kuoza kwa mwanaume utaumia sana
shikamoo jamaan ninii lknKosa ulilolifanya ni kumuonyesha kuwa unampenda saana, mwanaume akishajua hilo atakufanya apendavyo!! Hapo ndo ameanza sasa, anajua hata akufanyie nini huna la kufanya zaidi ya kukubaliana na hali...
Pole best
Kama ulikuwa unalialia sana matatizo hilo nalo ni tatizo aisee anaweza akawa anakusaidia lakini kuna kipindi hufika anachoka , cha msingi ni kuwa mbunifu na uwe na positive effect kwenye mahusiono sio negative na kuonyesha matatizo bwerere kila, na siku akikwambia hana ni fulu kununaHabari wanajukwaa?
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo.
Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na shida.
Lakini baada ya kukaa muda mrefu tukiwa kwenye mahusiano, mwenzangu amebadilika sana.
Hanipendi tena ingawa anajua wazi ninampenda kwa dhati na wala sifake upendo wangu.
Ninawaza sijui ni sababu ya kumpenda sana mpaka leo amekuja kunichukia, sielewi kabisa.
Marahabashikamoo jamaan ninii lkn
kwema unaendeleajeMarahaba
Kwema hukoo
hao ndio wanaume bana ukimpenda kufa na tai shingoni usimuonyeshee sana ajue unampenda badae unakua mtumwa wake kama yanayokutokea pole sana
Mkuu, huyo ni mtu mmoja mwenye ID mbili, ya kike na ya kiume, usidanganyike kirahisi humu JF.Hawa Smart911 na Mahondaw nawakubali sana dah...Kama kweli ni wapenzi I really appreciate their couple...May God bless them..
Sasa usiombe mwanamke ajihakikishie kama unampenda ndo utakiona kilichomtoa kanga manyoya shingonihao ndio wanaume bana ukimpenda kufa na tai shingoni usimuonyeshee sana ajue unampenda badae unakua mtumwa wake kama yanayokutokea pole sana
Kwani haiwezekani watu kuwa na mahusiano ya hivyo??Mkuu, huyo ni mtu mmoja mwenye ID mbili, ya kike na ya kiume, usidanganyike kirahisi humu JF.
Yani umeongea point tupu mkuu [emoji106]Unapowakuta wanawake wanapolalamikia mapenzi, unaweza jikuta unawahurumia sana.
Wanakuwa wanyenyekevu mno na machozi yao yapo karibu huku wakidai
Kuchezewa na kuachwa.
Mbaya zaidi wanajihesabia haki moja kwa moja bila hata kukumbuka kuwa alimtenda nini mwenzi wake.
Hata kabla hamjaanza mahusiano mwanamke huyu alikudanganya mengi (mwenyewe akichukulia ni njia ya kukupima kama unampenda kweli kabla hajakukubalia) sasa hata kama kweli ulikuwa na nia ya dhati ya kumpenda unapogundua tabia hiyo kwake tena kabla hata hamjaingia rasmi tayari unaanza kumjengea mashaka na kuanza kuishi Nae kwa tahadhari.
Mnapoanza rasmi uhusiano anajisahau na kuanza kufanya anavotaka yeye tu kisa tu amejiaminisha na kujionyesha kwako kuwa anakupenda kwa dhati lakini hajui kuwa tayari mwenzake ameshaanza kuwa na tahadhari nae tangu awali.
Mbaya zaidi hata kama anamakosa kibao lakini kamwe mwanamke hakumbuki kosa lake bali utamsikia tu akisema wanaume wabaya.
Hakuna alie malaika kati yetu, wote tunakosea, lawama zisiwe upande mmoja hebu jaribuni kuangalia na wanaume nao tunaumia kiasi gani.
Au kwasababu sisi machozi yetu ni ya ndani kwa ndani ndo maana mnaona kama vile hatuumii? Wengi tuna majeraha makubwa tu mioyoni ambayo hata ungekuwa wewe kwa moyo wako huo usio na uvumilivi yamkini ungeshajinyonga.
Tujitathimini wote kwasababu hakuna malaika kati yetu.
Kuoza hakufichiki!mkuu kama ni mpenzi achana naye tu ni ushauri wa bure na next time usionyeshe kuoza kwa mwanaume utaumia sana
Na wanaume unawaambiaje kuhusu kuwaonyesha wanawake upendo wa dhati.mkuu kama ni mpenzi achana naye tu ni ushauri wa bure na next time usionyeshe kuoza kwa mwanaume utaumia sana
Habari wanajukwaa?
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo.
Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na shida.
Lakini baada ya kukaa muda mrefu tukiwa kwenye mahusiano, mwenzangu amebadilika sana.
Hanipendi tena ingawa anajua wazi ninampenda kwa dhati na wala sifake upendo wangu.
Ninawaza sijui ni sababu ya kumpenda sana mpaka leo amekuja kunichukia, sielewi kabisa.