juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Nilishawahi kuweka uzi hapa kwamba sijaelewa faida za utumbuaji wa majipu,watu walinisakama sana..iala najiuliza tu kwamba je wale majipu wakishatumbuliwa pesa walizoiba au kupoteza wanarudisha? Au wanaishia tu kuambiwa wakapumzike? Basi hiyo haina maana kabisa.kwanza mzunguko wa hela mtaani umekimbia sisi wajasiriamali tunapata tabu sana