Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?
Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!
Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!
Ndoa tamu dogo ni zaidi ya hayo uliyoandika hapo
Jaribu kuingia utajionea mwenyewe
Ndoa tamu dogo ni zaidi ya hayo uliyoandika hapo
Jaribu kuingia utajionea mwenyewe
Wanachokifaidi ni siri ya wanandoa nawe ukiingia kwenye ndoa utajua.....
Raha ya ngoma ingia ucheze wasemavyo wahenga
Time yako ikifika utaelewa
wanakuzidi kuongeza stress za kuchapiwa... yani bora uchapiwe demu kuriko mke kabisa tena umemleta ndani kwa tarumbeta
Ni kama adhabu ya kaburi aijuaye ni marehemu, kamwe hutaijua mpaka ufe. Huwezi kujua mpaka ule. Na ndio maana huwezi kujua kwa nini huyu kamuoa/kaolewa na yule, kwa nini hawa wameachana, n.k