MGANI PATRICK
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 490
- 353
Tupo Tanzania na tunatoka walipo watanzania wa kweli na Binadamu wenye akili zao Timamu sio wale walio shikiwa akili na Mbowe & Mtei Company Ltd (saccoss ya Bomang'ombe).Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?
Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?
Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?
Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app