mkuu kumbuka moja ya mashimo ya kule BAGAMOYO mzee aliyeingia kule shimoni kuna kitu aliambiwaWakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?
Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?
Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?
Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
Kura zinahesabiwa na tume, siyo wale mashetani...Tume ni yetu . Hivi kwanini tulivamia kile kituo cha Ukawa cha kuhesabia .Mku how sure are you
Sent using Jamii Forums mobile app
ruksa kujipa matumainiWana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
Basi miye siyo Mtanzania, hata makasuku wanaosifu wanamsifu Magufuli na siyo ccm.Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
Wako wengi sana mkuu. Na wengine wanajiengue cdm na kujiunga ccm. Kwani hujawaaikia madiwani wa Arusha na Manyara waliyojiunga na ccm? Au nao ni Mawaziri?Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?
Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?
Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?
Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
Mavi............!Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
AiseeKwa utafiti wangu binafsi wanaomuelewa ******** ukanda ni wasio na elimu na uelewa wao Mdogo sana...hawafatiliiii mambo kwa uhalisia ila wao huwa fata upepo tu..wapo wapo tu.....wasio na elimu ni wengi zaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
ELIMU, ELIMU, ELIMU, ELIMU, ELIMU. Na elimu ni zaidi ya vidato na vyuo! wa tz wengi walinyimwa elimu hiyo na hawakujihangaisha kuitafuta., bado wananyimwa na hawataki kuitafuta! hawa ndio mtaji mkubwa sana wa CCM na watawala wanaofanana nao. Madikteta uchwara na wanufaika wao wanalijua hilo. Amini usiamini, mlio elimika mko wachache sana TZ kuliko unavodhani mkuu. Elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimuuuuuuu.duh watakuwa wanafiki sana
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
Muwape hiyo access ya internet anglau madiwani wenu wasiwakimbie sasa...kuzuia vyama vya upinzani visifanye mikutani for sure imafanya watu wengi waishio vijijin au mijini na wasiokua na access ya social media (smart phone) wazidi kumpenda magufuli, alisimia kubwa ya watanzania wana access na tv or radio kuliko internet, kila uchao vituo vya habar vinariport kuhusu drama za magufuli kafanya ivi kazuia kile, kamtumbua huyu, his public image kwa watanzania wengi ni mtetenzi wa Wawanyonge kwa sababu ndio vitu pekee ambavyo hurushwa na vyombo vya habari. kila mtu anaefuatila siasa through social media zaidi jamii forum au Mange kimambi lazima utamchukia magufuli na selikari yake.
kwa mtizamo wangu watu wanaomchukia magu na selikal ake..
1. wafanyakazi wote wa serikali, kutokuongezwa mshahara
2. wanafunzi wa vyuo vikuu, hasa waliokosa mikopo.
3. watumiaji wa mitandao ya kijamii, sababu ukweli kuhusu utumbo wa serikali yake utaupata uku.
4.wafanya biashara wote, sababu kutoza kodi kinguvu na ugumu wa biashara.
Msg of the day...sawa kabisa yani...ELIMU, ELIMU, ELIMU, ELIMU, ELIMU. Na elimu ni zaidi ya vidato na vyuo! wa tz wengi walinyimwa elimu hiyo na hawakujihangaisha kuitafuta., bado wananyimwa na hawataki kuitafuta! hawa ndio mtaji mkubwa sana wa CCM na watawala wanaofanana nao. Madikteta uchwara na wanufaika wao wanalijua hilo. Amini usiamini, mlio elimika mko wachache sana TZ kuliko unavodhani mkuu. Elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimuuuuuuu.