Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Du... mzee , umefufuka?Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
"Kipande hiki kimeanza"
"Kipande hiki ni asilimia 70"
"Wakazi wa Kigoma mwisho wa reli wakae mkao wa kula"
"Sasa tunaleta SGR hadi Arusha"
"Tunafikiria kupeleka SGR hadi Katumba Songwe kwa kina mwanakijiji"
Ila hili jengo la Mwanza haruringishiwi kabisa
Kuna Waziri anayesimamia hii sekta?
duh !! CCM ni janga la kudumu👿Unaambiwa jiji la dar limekopeshwa billion of money na wamelipa million 80 dhamana ni wanachi wa dar 😀😀😀
Samia ni tapeli Sana
Huna sera mzee!Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
"Kipande hiki kimeanza"
"Kipande hiki ni asilimia 70"
"Wakazi wa Kigoma mwisho wa reli wakae mkao wa kula"
"Sasa tunaleta SGR hadi Arusha"
"Tunafikiria kupeleka SGR hadi Katumba Songwe kwa kina mwanakijiji"
Ila hili jengo la Mwanza haruringishiwi kabisa
Kuna Waziri anayesimamia hii sekta?
Sasa hili ni jibu? Unaulizwa za kazi. Unasema "mapera"...Huna sera mzee!
Mzee wa ukabila
Sasa jengo jiJPM alichora jengo la hovyo kabisa kama stoo ya korosho au pamba, wadau wamelikataa, Samia kaagiza lijengwe zuri kabisa lenye hadhi ya Jiji.
Lile la mwanzo lilikuwa linajengwa kwa force account, mafundi walikuwa wanaokotwa tu pale mwaloni na pansiansi wanaambiwa twende ukajenge.
Takataka kabisa, eti airport inasimamiwa ujenzi na Halmashauri, badala ya mamlaka ya viwanja bya ndege. JPM hovyo kabisa
Wait a minute...yaani ni kama kupiga march time...Ni majigambo. Ukweli hausemwi.
1.kuna daraja la Magufuli, tunaambiwa liko 98%
2.ujenzi wa njia nne, Mwanza- Usagara, ni miezi mitatu wameweka kifusi upande mmoja kwa km 3/4. Site haina wajenzi.
3. Njo SGR, wajenzi hawaonekani, kazi imesimama zaidi ya miezi mitatu, angalau mza mjini. Lakini tunataka kwwnda Arusha.
4.MV Mwanza siku hizi hata haisemwi.
5. Soko kuu ni nyimbo tu, halifunguliwi, huku wajuaji wamejitwalia asilikia kubwa ya maduka.
5. Ujenzi wa njia nne mza- Kisesa ni Diversion ya kupita milimani inatesa magari, ujenzi haueleweki.
6. Huo uwanja wa Ndege sasa, hauzungumwi, waziri yuko busy na kujenga Dar.
Uwanja wenyewe: hivi juzi juzi wenyeji walio ahidiwa fidia ya maeneo yao kupisha uwanja walikuwa wakipiga kelele kwa kulaghaiwa!Sasa jengo ji
Wait a minute...yaani ni kama kupiga march time...
HIli deni lilikoma utawala wa magufuli inakuwaje limerudi tena? Mbona wewe msoge gangUkishangaa hilo la jengo kuna la IPTL wanaidai Tanesco bilion nyingi!
Hilo la mama limefikia hatua gani?JPM alichora jengo la hovyo kabisa kama stoo ya korosho au pamba, wadau wamelikataa, Samia kaagiza lijengwe zuri kabisa lenye hadhi ya Jiji.
Lile la mwanzo lilikuwa linajengwa kwa force account, mafundi walikuwa wanaokotwa tu pale mwaloni na pansiansi wanaambiwa twende ukajenge.
Takataka kabisa, eti airport inasimamiwa ujenzi na Halmashauri, badala ya mamlaka ya viwanja bya ndege. JPM hovyo kabisa
Zaidi ya asilimia 50Hilo la mama limefikia hatua gani?
UpigajiHIli deni lilikoma utawala wa magufuli inakuwaje limerudi tena? Mbona wewe msoge gang
Hii serikali haiwezi, haitaki kusimamia kitu chochote cha mama kwa Watanzania.Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...