Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

Andika barua yako ya malalamiko uipeleke kwa mwalimu wa kemia pale getini magogoni.

Nasikia na mkewe pia alikuwa mwalimu kabla ya kuingia jumba jeupe.

Huenda wakakusikia, maama wanajua machungu ya waalimu.
Hata Arch angel naye ni ticha
 
Mkuu kila kazi ina Chain of command! Ni bora uifahamu vyema na uifurahie ili usizeeke mapema. Hao wengine ulotaja hata hawapo kabisa kwenye chain yako.

NB. Wazungu hawakukosea kusema hatuna furaha
 
nani anakutisha tisha ningekua mwalimu napiga wote hao baba,mama,mtoto,afisa elimu na wajinga wajinga wengine ni ngeu tu
 
Kweli adui wa mwalimu ni mwalimu leo hii mwalimu wa kemia hana habari na walimu wenzie
 
Ningekuwa mwalimu awamu hii na hii hamisha hamisha nadhani ningepelekwa Kufundisha vidudu, sijui na wala sipendi kumnyenyekea mtu
 
Duuh mkuu umeongea facts hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…