Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Habari zenu wakuu siku chache zilizopita mbunge wa chadema kupitia jimbo LA mikumi kaka yetu profesa j katika wimbo alioutoa hivi karibuni moja kati ya mistari wake unasema "" NIMEWASAMEHE WASANII WENZANGU WALIOKUJA KUUPINGA UBUNGE WANGU JIMBONI ""
BAADA KUSIKIA MSTARI HUU NIKAKUMBUKA ULE UCHAGUZI 2015 KUNA WASANII KIPINDI CHA KAMPENI WALIENDAGA KUUPINGA UBUNGE WAKE ,
NAKUMBUKA KATIKA ILE TEAM KAMPENI WALIKUWEPO WASANII WA BONGO MOVIE NA MUZIKI WA BONGO FLEVA WENGINE NIMESHASAHAU ???????
ILA YOTE TISA KUMI NINGEPENDA KUFAHAMU HIVI WAKO WAPI WALE WASANII WALIOKUWA WAKIUPINGA UBUNGE WA PROFESA J ????