Hivi wako wapi George Kabaka?

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Kenya ilikuwa na muziki wa kupendeza miaka ya 60 mpaka 70 laikini sasa na wote wamepotea aidha wamekufa au wamezeeka.
Na kwa bahati mbaya hakuna tena kwa hiki kizazi cha sasa ambao wanapiga nyimbo kama Lunch time na nyingine nyingi kwa kweli zilikuwa zimbeba nembo ya Kenya.

Yaani ukipigwa unajua ni wimbo kutoka Kenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom