bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
Kuna mdogo wangu ambae hali yake kiuchumi si mzuri kwa kipindi kirefu, alipata matatizo akapoteza ajira, mm ndie msaada wake hapa mjini maana wana mapacha wachanga na mtoto wa class 4
Sasa kila akija nyumbani kwangu kuomba msaada mke wangu atapiga kelele kutwa nzima kwamba nachezea hela nagawa hovyo, kila akimuona huyu jamaa kwetu ataniita na kuniuliza kuwa " kafuata hela au?"" Mm hujibu kwa swali pia " hela ni zako?" Then narudi sebuleni kuendelea na mazungumzo na mgeni wangu
Hali hii ipo kwa wageni wangu mbali mbali wanaokuja kwangu hadi imefikia pahala nimechoka
Kuna wakati alianza kukataa kupokea 5000 ya matumizi ndani kwamba naachaje pesa hiyo wakati natapanya hela kwa ndugu zangu, kitu ambacho si kweli, maana nyakati zinatofautiana, kama fedha ipo huwa natoa Mara moja matumizi ya wiki nzima na ninanunua vitu kwa jumla
Kumsaidia mdogo wangu ni suala lisiloepukika maana hata yy aliwahi kunisaidia sana nilipokua juu ya mawe, na mjini hapa hatujui ya kesho, hivyo sipendi kuishi kama nipo kisiwani
Hata hivyo jambo la kusikitisha ni kuwa wakija ndugu zake hali ni tofauti, ambapo atawakirimu kuanzia mapishi ya siku hiyo yatabadilika na baadae atadai nitoe na nauli
Sasa nikapenda niwaulize na nyinyi pia wake zenu wapo hivyo? Na Tiba gani hasa inaweza kufaa kutibu tatizo hili? Uaminifu, Upendo na ustahimilivu anao ila hiyo tabia ya miaka nenda Rudi ndio kero kwangu