Hivi wake za watu mna matatizo gani?

Hivi wake za watu mna matatizo gani?

faru rajabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
221
Reaction score
355
Mimi juzi tu nilikuwa nyumbani kwa nje jirani kuna duka napiga zangu k-vant, nipo na mafundi ambao wanajenga nyumba moja jirani pia hapo hapo kitaa, sasa akaja dada mmoja jirani yetu kaolewa na mshikaji mhasibu taasisi fulani nyeti serikalini,huwa nataniana nae,wakati anaondoka pale dukani dk kama 5 na mimi nikaona ngoja nisepe niende home, sasa napita ktk hilo pagale wanalojenga hao mafundi naona yule demu anatoka spidi kuelekea kwake na jamaa nae anakimbilia kwa nyuma ya pagale,nikaona mazafaka,kumbe mimi huwa namuheshimu halafu anabananishwa hata na mafundi?

UAMUZI NILIOCHUKUA NI NITAKAPOMUONA TU POPOTE NA MIMI NAMTONGOZA,sipendagi kutumia vibaya fursa mimi
 
Kumbe ndio maana unamchelewa, yaani hadi umtongoze?
 
mimi juzi tu nilikuwa home kwa nje jirani kuna duka napiga zangu k vant,nipo na mafundi ambao wanajenga nyumba moja jirani pia hapo hapo kitaa,asa akaja dada mmoja jirani yetu kaolewa na mshkaji mhasibu taasisi flani nyeti serikalini,huwa nataniana nae,wakati anaondoka pale dukani dk kama 5 na mm nikaona ngoja nisepe niende home,asa napita ktk hilo pagale wanalojenga hao mafundi naona yule demu anatoka spidi kuelekea kwake na jamaa nae anakimbilia kwa nyuma ya pagale,nikaona mazafaka,kumbe mm huwa namuheshimu halafu anabananishwa hata na mafundi???

UAMUZI NILIOCHUKUA NI NITAKAPOMUONA TU POPOTE NA MM NAMTONGOZA,sipendagi kutumia vibaya fursa mm
Ujiandae kufumuliwa pia, kufanya hivyo utakuwa umeweka rehani tigo yako
 
USITEMBELEE NYOTA ZA WATU MKUU SHAURI YAKO INAONEKANA HUNA UCHUNGU NA MARINDA YAKO
 
Mimi juzi tu nilikuwa nyumbani kwa nje jirani kuna duka napiga zangu k-vant, nipo na mafundi ambao wanajenga nyumba moja jirani pia hapo hapo kitaa, sasa akaja dada mmoja jirani yetu kaolewa na mshikaji mhasibu taasisi fulani nyeti serikalini,huwa nataniana nae,wakati anaondoka pale dukani dk kama 5 na mimi nikaona ngoja nisepe niende home, sasa napita ktk hilo pagale wanalojenga hao mafundi naona yule demu anatoka spidi kuelekea kwake na jamaa nae anakimbilia kwa nyuma ya pagale,nikaona mazafaka,kumbe mimi huwa namuheshimu halafu anabananishwa hata na mafundi???

UAMUZI NILIOCHUKUA NI NITAKAPOMUONA TU POPOTE NA MIMI NAMTONGOZA,sipendagi kutumia vibaya fursa mimi
unahangaika kutongoza ili iweje mwambie tu unataka mbunye
 
Kuna kitu watu wanasahau kwamba hata malaya wanaolewa pia...wale wauza mbunye wanapata bahati ya kuolewa na wengine wanabadilika na wengine wanaendeleza utamaduni
kuna malaya wameolewa na hawajawahi kuwa machinga wa mbunye,ni mwendo wa kugawa kwa hisani ya watu wa marekani tu...yaani tundu linawasha tu
 
Kuna kitu watu wanasahau kwamba hata malaya wanaolewa pia...wale wauza mbunye wanapata bahati ya kuolewa na wengine wanabadilika na wengine wanaendeleza utamaduni
Tena hakuna watu wana ngekewa kama hao jistiri ustirikavyo ndoa huipati anakuja kuolewa malaya fulani tu
 
Back
Top Bottom