Daa kumbe, nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?Kama unaolea sura, oa. Hila kama tabia usikurupuke, ndoa itaota mbawa mapema sana
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuwa umefanana sura na baba yake labdaDaa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?
Acha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.Daa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?
Aiseee!Do for your own risk!
Kuna makabila hua wanawezana wao kwa wao tu mm nimeishi nao sana wewe Kama sio mmbulu uko kwao wanakuita omoo!
Ok, shukran sana mkuu, nimeanza kuunganisha dotAcha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.
Mwaka fulani nilipata field uko hydom, kiukweli nilista ajabu kuona uzuri wa wasichana wa kule, nikajikuta nimeshaingia kwenye mapenzi na binti wa kimbulu(alikua mwajiliwa). Mapenzi yakawa motomoto(nikajikuta marioo). Nitake nini mwanaume nisipate, out za kila mara, nikaona hapa naoa.
Mwanamke mpole, mnyenyekevu, mkarimu, nilijiona mbabe kweli.
Baada ya miaka miwili mwanamke akaanza kulazimisha sana ndoa, akadai kama sina hela yeye atagharamikia kila kitu hili mradi nimuoe, nikaona hii siiwezi. Nikamwambia asubiri kidogo.
Aisee kumbe demu ni demu wa masela, wanaoniita shemeji ndiyo mabwana zake.
Kisa ni kirefu hila hawa hawajui kukataa, ukioa jua na jirani yako atakula tu.
Nakupa task nenda uko ukweni, jaribu kumtongoza rafiki/mdogo mtu/dada mtu/ au mke wa mtu, ukikataliwa basi oa
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Sio wa kuoa wale la sivyo waoane wenyewe kwa wenyewe ndio wanawezanaNoma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu