Hivi Waganda wote wana fani ya ualimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Waganda wote wana fani ya ualimu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bw.Ukoko, Jun 29, 2009.

 1. B

  Bw.Ukoko Member

  #1
  Jun 29, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Katika siku za hivi karibuni kumezuka kasumba ya karibu shule zote zilizoko katika mikoa ya kanda ya ziwa kuagiza waganda kwa ajiliu ya kufundisha katika shule nyingi zinazoitwa international school.

  Ina maana kila mganda anayejua lughaa ya kiingereza ni mwalimu? na je watoto wetu wanafundishwa katika mlengo wa kuelewa au ni kufundishwa lugha tu kama vile wanavyofundishwa wachina huko kwao.

  na je hapa tunajenga misingi ya elimu kwa watoto hawa?

  Mwisho naomba kujua hivi ni shule gani hasa inastahili kuitwa shule ya kimataifa.

  Chao
   
Loading...