chija JF-Expert Member Oct 9, 2014 276 65 Jan 29, 2016 #1 Ndugu wadau naomba mnipe uzoefu wa hivi vyombo kipi ninunue kati ya nilivyovitaja hapo juu
chija JF-Expert Member Oct 9, 2014 276 65 Jan 29, 2016 Thread starter #2 Boxer bajaji used na piki piki ya kichina used
GHIBUU JF-Expert Member Jan 13, 2011 4,432 3,011 Jan 29, 2016 #3 Unamaanisha hizi underwear boxer? Kama ni hizo bora chupi