Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Nilishawah uliza wanachamba na kidole cha kati kati yani katikat ya pingil za kidole ndo zinasafisha 0
 
Wanatembeaga na tissue watuambie za kazi gani
 
Achana nao mkuu. Vitu vingine ni heri kuvifumbia macho tu hawakawii kuja wamepaniki hapa.
 
Kwani wewe huwa unatumia vidole au kucha
 
Back
Top Bottom