Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Kuna kipindi sikukata kucha zangu mkono wa kushoto kama mwezi aisee nilipata shida sana, hata kutype text kucha zinagonga kioo, nikinawa mikono najichubua nikiingiza mkono mfukoni mda wa kutoa kucha zinanasa nikamuuliza babe mama hivi hizo kucha unaishije nazo mbona ni kazi. Sema alinisikiliza akazitoa zote.
 
nitumie na mimi niione

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenichekesha sana
 
Wadau, kutokana na suala zima la usafi nimejiuliza sana juu ya umuhimu wa kuwa na kucha ndeeeeeefu kama mwanasesere. Hawa akina dada wanachambaje? Na wanajikinga vipi dhidi ya bakteria wanaoweza kukwama ndani ya kucha hasa hasa ukichukulia kwamba si utamaduni wa watu wengi kunawa mikono kwa sabuni watokapo toilet. Binafsi demu wangu akiwa na mikucha mirefu huwa nampa red card hapohapo. Wewe unasemaje
Wewe si m.tombaji....visabab sabab viiing,..ukiona mtu ana vijisabab viinh ujue eitha Mnara hausom au domo zege...we piga mashine tuu..
 
Siwezi kwa sababu tatu. Kwanza kuna uwezekano wa kupata jeraha panapo mahala. Pili, sina uhakika kama nitaweza kuchamba kwa uhakika. Tatu, kuna hatari ya uchafu kubaki kwenye kucha.
HUWA WANAWAOMBA WANAUME ZAO WAWASAIDIE KUWACHAMBA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenichekesha sana
mkuu ndio fursa zenyewe hizi, mimi naenjoy mno humu jf coz unaweza ongea chochote 😀 hata papuchi
 
Wewe si m.tombaji....visabab sabab viiing,..ukiona mtu ana vijisabab viinh ujue eitha Mnara hausom au domo zege...we piga mashine tuu..
Hahaha, unanivunja mbavu hapa
 
HUWA WANAWAOMBA WANAUME ZAO WAWASAIDIE KUWACHAMBA
Aaaa! wewe hivi hata kama wapenzi wanapendana vipi umeshawahi kusikia wakisindikizana toilet? Yaani mmoja ajisitiri huku mwingine akimshuhudia? Haaa! sijawahi kuona wala kusikia.
 
Mwanamke akishakuwa na kucha ndefu Ni mchafu.
Hawezi kuchamba na kujisafisha vizuri.ataondoka na uchafu kila akienda chooni.
Hawezi kufua hata nguo zake za ndani.
Kama sio kuzirudia chafu basi hg anaziloweka tu na kuzianika. Wao wanadhani mahouse girl huwa wanawafulia hizo chupi!!

Uchafu tu ndio umewajaa.
 
Wadau, kutokana na suala zima la usafi nimejiuliza sana juu ya umuhimu wa kuwa na kucha ndeeeeeefu kama mwanasesere. Hawa akina dada wanachambaje? Na wanajikinga vipi dhidi ya bakteria wanaoweza kukwama ndani ya kucha hasa hasa ukichukulia kwamba si utamaduni wa watu wengi kunawa mikono kwa sabuni watokapo toilet. Binafsi demu wangu akiwa na mikucha mirefu huwa nampa red card hapohapo. Wewe unasemaje
Kuchamba kuna aina mbili maji na toiletpaper hata kama hana kucha ndefu uchambaji wa maji ni uchafu tayari mtu utashikaje kinyesi nakuosha sehemu kama hizo??
Halafu mf. Awe period huu sio ugonjwa tu huu ni mlipuko wa kipindupindu.
Aisee .
Hii khali.
 
Back
Top Bottom