Kabla ya kutumia hizi dawa kulikuwa kuna dawa za mitishamba ila maendeleo Chemistry ilifanya kuweza ku extract ambacho kinapatikana kwenye mitishamba au kutengeneza equivalent kutoka maabara hio sio beberu wala ndama wala mbuzi bali ni muendelezo wa innovations kutoka generation mpaka generation
If I have seen further than others is by standing on the shoulders of the Giants....
Na tukiongelea kuhusu tiba hivi unajua mtu mweusi (mtumwa) alikuwa instrumental kugundua chanjo ya smallpox ? (Onesimus)
Kwahio ni upuuzi wa mtu mweusi au ni uroho wa viongozi wachache.., na misaada ya nini tukiacha kukipelekea kisiwa kama Uingereza chakula unadhani nani atakufa kwanza kwa kukosa basic needs ? Ndio hapo wewe kwa kuangalia sysmptons unalaumu symptoms badala ya kutafuta kosa / shida ni nini ili uweze kutibu root causes (Na fikra kama zako ukichangia na indoctrination na mental slavely ya tangia kipindi cha utumwa ndio inatumiwa na so called mabeberu kuendeleza Imperialism) au wakati viongozi wako wanauza mtaji wa nchi unashangilia sababu umeshajiaminisha kwamba sisi hatuwezi...
There has been a shift in our way of Thinking. We used to think we can became self reliant and do all what needs doing.., of-course nothing wrong with assistance here and there....; Now our mentality has changed and we think we can't do anything worthwhile without assistance of others. We should...
www.jamiiforums.com
Asilimia ngapi ya Magari hapa Tanzania au Africa kwa ujumla yanaagizwa kutoka Ulaya ? Pia kuanzia ancient times kumekuwa na different vehicles ndio hapo nakwambia ni mwendo wa kuboresha na inafika wakati kunakuwa na a breakthrough.., Mfano Steam engine, Internal Combustion n.k. ila vyote hivyo ni kwa kuchukua ideas za kilichopita na kuboresha wanaovuma leo huenda huko nyuma walikuwa hawapo..., na utengenezaji (Mass Production) wala haitegemei akili zako bali ni comperative advantages na economy of scale... There was a time wakati sisi huku tunatumia Punda au wengine ngamia pengine walikuwa wanatumia Farasi..., ila ilivyokuja kazi nzuri credit lazima wapewe pia waliokuja na theories mfano the knowledge of ideal gas laws ilisaidia sana katika utengenezaji wa Internal Combustion Engine
If I have seen further than others, is by standing on the Shoulders of the Giants (Isaac Newton 1675)