Hivi vyanzo vipya vya mapato ni vipi?

kalamu ya chuma

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
214
62
Naombeni kujua kutoka kwa wadau hapa nini vyanzo vipya vya mapato kwa serikali hii ya awamu ya tano kabla hatujaanza kuchambua maumivu ya bajeti iliyoanza leo.
 
Back
Top Bottom