DDAVYX New Member Joined Sep 3, 2022 Posts 2 Reaction score 1 Jul 30, 2024 #1 Wadau, Naomba kupata taarifa za ujenzi wa viwanja vipya vya michezo hapa Tanzania. Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe hasa kile cha Arusha......kuna fursa ninaisubiria Kwenye picha, ni maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha pale Kenya mpaka mwezi May 2024
Wadau, Naomba kupata taarifa za ujenzi wa viwanja vipya vya michezo hapa Tanzania. Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe hasa kile cha Arusha......kuna fursa ninaisubiria Kwenye picha, ni maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha pale Kenya mpaka mwezi May 2024