Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 767
- 1,035
Unatoka Dar umejaza wese, ukifika Pwani unajaza, ukifika Moro au Mkata(Tanga) unajaza au ukifika Iringa unajaza, Makambako ( Njombe region) unajaza, ukifika Igurusi (Mbeya) unajaza, Ukifika Songwe unajaza, ukifika pale mbele kidogo nimepsahau ila ni Rukwa, unajaza...hii ni bodaboda Mpwa?Na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese
Mafuta ya Lake Oil huwa siyaamini kabisa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatoka Dar umejaza wese, ukifika Pwani unajaza, ukifika Moro au Mkata(Tanga) unajaza au ukifika Iringa unajaza, Makambako ( Njombe region) unajaza, ukifika Igurusi (Mbeya) unajaza, Ukifika Songwe unajaza, ukifika pale mbele kidogo nimepsahau ila ni Rukwa, unajaza...hii ni bodaboda Mpwa?
Ulishasoma huu uziWakuu heshima kwenu, kwa muda ss toka corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa tz bara. Na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese. Sasa nlichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600. Hebu wajuvi wa mambo naomba kujuzwa.
Anajaza Lekioil anapigwa upepo tu,mafuta weka Puma, Total lkn huyu, utaniambia life ya injini itakuwajeUnatoka Dar umejaza wese, ukifika Pwani unajaza, ukifika Moro au Mkata(Tanga) unajaza au ukifika Iringa unajaza, Makambako ( Njombe region) unajaza, ukifika Igurusi (Mbeya) unajaza, Ukifika Songwe unajaza, ukifika pale mbele kidogo nimepsahau ila ni Rukwa, unajaza...hii ni bodaboda Mpwa?
Lake Oil sina hamu nao, sawasawa na wale PUMA ya SinzaAnajaza Lekioil anapigwa upepo tu,mafuta weka Puma, Total lkn huyu, utaniambia life ya injini itakuwaje
Ukiweka mafuta yao tegemea miss firing kwenye gari yakoLake Oil sina hamu nao, sawasawa na wale PUMA ya Sinza
Huwezi kuwa unasafiri safari ndefu hivyo halafu kila kituo unaweka mafuta, last two months tulikua na shughuli, sasa binafsi nilikua Shinyanga, shughuli ilifanyikia maeneo ya Manyoni (sio manyoni hasa) basi ndugu yangu katoka Dar na Extrail kafika pale junction jioni kaweka wese yaani asubuhi gari inatetemeka utadhani utumbo ukiwa umeshikwa baridi.Ukiweka mafuta yao tegemea miss firing kwenye gari yako
Ni wiki tu mafuta ya hao jamaa yaneniletea miss nilisha notisi ukweli napenda Total na Puma, itokee tu ndio nitaweka mafuta vituo tofautiHuwezi kuwa unasafiri safari ndefu hivyo halafu kila kituo unaweka mafuta, last two months tulikua na shughuli, sasa binafsi nilikua Shinyanga, shughuli ilifanyikia maeneo ya Manyoni (sio manyoni hasa) basi ndugu yangu katoka Dar na Extrail kafika pale junction jioni kaweka wese yaani asubuhi gari inatetemeka utadhani utumbo ukiwa umeshikwa baridi.
Gari kurudi nayo kwa mbinde hadi Moro. Ikashindikana kuendelea maana inakunywa wese vibaya sana.
Ameingia gharama kubwa kuirudisha kwenye hali yake kisa mafuta tena ya 20,000
Pole sana aiseeNi wiki tu mafuta ya hao jamaa yaneniletea miss nilisha notisi ukweli napenda Total na Puma, itokee tu ndio nitaweka mafuta vituo tofauti
Shida ya mafuta ya lake ni hiyo!! Hana quality controlNi wiki tu mafuta ya hao jamaa yaneniletea miss nilisha notisi ukweli napenda Total na Puma, itokee tu ndio nitaweka mafuta vituo tofauti
Ana storage facility zake piaLake anafanya biashara ya mafuta kwa jumla na reja reja , nafikiri ni moja ya kampuni kubwa ya usafirishaji wa mafuta kwa maana ana tankers za kutosha, na ni kampuni pekee yenye vituo vingi vya mafuta nchini , hakuna mkoa ambao lake hana kituo ,
Here is how it works !! Ana mafuta, ana usafiri wake , kwa hiyo anaweza kupunguza faida ya transport ili auze mafuta bei rahisi na kuliteka soko.
Mtwara ndio walikomesha yalishuka mpaka 1500, walikuwa wanashindana na petrol stations zingineWakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese.
Sasa nlichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600.
Hebu wajuzi wa mambo naomba kujuzwa.