cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Kwani wewe unacho taka ni urembo, kudumu au ubora? Vyote huwezi kuvipata kwa kitanda kimoja, Kama wataka cha kuka miaka 20 hadi 50 nunua cha chuma tena bei iko chini hivyo vya urembo achana navyo kabisa......Hakuna asiyependa kwenda na wakati,ivi vitanda ndo habari ya mjini saizi lakini je Vinaubora? kama sofa ukiinunua tu baada ya miaka mitatu minne kitambaa kinaanza kupauka na kufifia rangi yake na kama una sofa ya laiza pia kitambaa kinatoboka na kufubaa yaani mng'ao unapotea.sasa swali langu je ivi vitanda vina ubora gani? na kama hamtojali tupia picha yenye kitanda kizuri na sofa, wengine tunataka tuanze maisha na vitu vyenye ubora sio kila siku unanunua kitu kile kile.
Hakuna kitanda hapo ,ndani ya miezi 4 tu utatamani kutupa ...mbao fake ,vitambaa fake ,vijigodoro fake ,...Hakuna asiyependa kwenda na wakati,ivi vitanda ndo habari ya mjini saizi lakini je Vinaubora? kama sofa ukiinunua tu baada ya miaka mitatu minne kitambaa kinaanza kupauka na kufifia rangi yake na kama una sofa ya laiza pia kitambaa kinatoboka na kufubaa yaani mng'ao unapotea.sasa swali langu je ivi vitanda vina ubora gani? na kama hamtojali tupia picha yenye kitanda kizuri na sofa, wengine tunataka tuanze maisha na vitu vyenye ubora sio kila siku unanunua kitu kile kile.
Anauliza hivi vya sofa mkuuCha mninga kinadumu hata miaka arobaini.
Kwanini vitanda vya mtiki morogoro bei rahisi!?Kwani ubora kwako ni nini? Uzuri, uimara, au kudumu maana lazima ujue unchotaka ndio ujue unanunua nini, chuma ni durable ila hakitakupa muonekno nzurii, mbao kama mpingo ambayo ni ngumu na itaishi maisha marefu haifai kwasabbu hata msumeno hauwezi kukata vizuri mbao yake, miti mingine kama mninga, mtiki, mvule au mkongo na yakufanana na iyo inauzwa ghali sana kitanda chake si mchezo kununua labda uibe mbao ukampe fundi ila ukidakwa ni juyako.
Sofa na mbao laini ndo option ya kitanda cheap lakini vinapewa muonekano mzuri vinadumu kwa muda mfupi , na tafadhali usiwe mchafu na sofa bed kunguni watakuua. Kwa maelezo hayo nafikiri tafakari ubora kwako unaangalia nini then the choice is yours
Kwanini vitanda vya mti wa mtiki morogoro bei rahisi!?Kwani ubora kwako ni nini? Uzuri, uimara, au kudumu maana lazima ujue unchotaka ndio ujue unanunua nini, chuma ni durable ila hakitakupa muonekno nzurii, mbao kama mpingo ambayo ni ngumu na itaishi maisha marefu haifai kwasabbu hata msumeno hauwezi kukata vizuri mbao yake, miti mingine kama mninga, mtiki, mvule au mkongo na yakufanana na iyo inauzwa ghali sana kitanda chake si mchezo kununua labda uibe mbao ukampe fundi ila ukidakwa ni juyako.
Sofa na mbao laini ndo option ya kitanda cheap lakini vinapewa muonekano mzuri vinadumu kwa muda mfupi , na tafadhali usiwe mchafu na sofa bed kunguni watakuua. Kwa maelezo hayo nafikiri tafakari ubora kwako unaangalia nini then the choice is yours