Hivi vioo vina matumizi Gani kwenye gari?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
Wasafwa husema kwenye wengi pana mengi, na kujifunza hakuna ukomo na wala hakuna ajuaye yote. Hata Erica Lukomo Kakuyu aliendelea kujifunza hadi dakika yake ya mwisho kabla ya kutwaliwa.

Kwenye mabasi ya Toyota Coaster Kuna kioo kinaning'inia juu kwenye kioo kikubwa cha nyuma, je ni nini KAZI ya kioo hiki?
IMG_20250706_162724.jpg

Pia kwenye magari saizi ya kati SUV na Vans Kuna kioo kiko kwenye Bonet ni kodogo, je KAZI yake ni nini? Naomba kuelimishwa. Asante.
IMG_20250706_162846.jpg
 
Hiyo kwenye picha ya juu inamsaidia dereva wakati wa kufanya parking. Kumbuka ni adjustable kwa hiyo dere anaweza ku adjust kulingana na eneo korofi kwenye parking site yake

Picha inayofuata ni wing mirror huwa ina partition mbili(kwa baadhi ya gari) husaidia kuona wide view ya gari.

In short zote husaidia wakati wa ku park gari
 
Kaka Mad Max njoo ningesema ila naogopa wasije sema mbona corolla haina hivyo vitu wewe ni muongo
Hizo ni blind spot mirrors kwaajiri ya gari zenye body yenye elevation ya juu.

Kwa mfano,ukiwa katika SUV kama Prado Land cruiser pua yake kubwa unaweza usione vema ubavuni maeneo ya fenders so hiyo itakusaidia kuweza kuona hozo blind spot.

Hiyo ya nyuma ya costa ni kusaidia kuona eneo la hiyo ngao ikitaka kugusa kitu au kugonga kitu kipindi anarudi nyuma au kuona kama kuna kitu chochote eneo la ngao hapo chini.

Mara nyingi hivi vioo huwa vina akisi kwa mbinuko (Convex reflection) na hivyo kutoa taswira pana ambayo inasaidia dereva na abiria kuona eneo kubwa.
 
Mchanganuo mzuri sana
 
Ahsante kaka ,weekend njema mkuu wangu
 
Back
Top Bottom