Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,645
Ni kweli ndugu yanguWakishashiba na kusaza ni vigumu kukumbuka mtoto wa masikini
AmeenTuombe mungu ndo mueza wa yotee
AsanteeeUzuri wa Tanzania kila mtu anajua kila kitu even though hana utaalamu nacho, big up mtoa mada
Nimeuliza maana mtu mwenye mtoto lazima awe huruma hata kwa watoto wa wenzao maana "mtoto wa mwenzio ni wako"Watoto wanao mbona yupo j! halafu umesema kama wanao...?
zingatia na uufanyie kazi ushauri huu hapa --> [HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]Habari za asubuhi wana JF mi nakaa najiuliza hawa viongozi wetu wa awamu hii ni kweli wana watoto wa kuzaa wenyewe ? Swali langu linatokana na haya yafuatayo;
1. Mwaka mzima watu wanasubiri ajira hata hawana mpango wa kutoa zaidi ya kutoa sababu kibao
2. Kutoa matamko mengi ambayo mengi yana athari kwa wananchi lakini wao hawajali
3. Wanafunzi kukosa mikopo
4. Kumjali faru John kuliko miili saba ya watu kule Ruvu
5. Kutotoa fedha za maafa kule Kagera
6. Kutumbua watu hata kwa makosa yanayohitaji kuonya
7. Kukamata watu kama Mr Melo na kuwaweka ndani eti kisa wanaonekana kwenda kinyume na serikali
8. Bomoabomoa nyumba za wananchi ambazo hazikustahili kubomolewa lakini viongozi hawaonyeshi kushtuka
Na kama watakuwa na watoto basi mi naweza kusema
1. Hawana upendo
2. Wana ubinafsi
3. Siyo watu wa kujali shida za wengine
4. Wapo kimaslahi
5. Wanafki
sasa jibu lako nimekupa wanao na ww hapo mwishoni umesema kama wanao sijui nini nini.... hilo lao sasa me simoNimeuliza maana mtu mwenye mtoto lazima awe huruma hata kwa watoto wa wenzao maana "mtoto wa mwenzio ni wako"
Mi naona ni danadana wanatupigaAjira Mara baada ya kukamilika kwa uhakiki nafikir serikali yetu iko makin na niwaelewa, xo ajira Nina iman watatoa 2 kuwa na subira
Hiyo subira unaijua? Mbona mnajitoa ufahamu sana. Kwenye mambo mazito mnatoa majibu mepes kbsa. Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaaAjira Mara baada ya kukamilika kwa uhakiki nafikir serikali yetu iko makin na niwaelewa, xo ajira Nina iman watatoa 2 kuwa na subira
Ushauri wako nimeupenda na nitauzingatiazingatia na uufanyie kazi ushauri huu hapa --> [HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]