Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari za asubuhi wana JF,
Mi nakaa najiuliza hawa viongozi wetu wa awamu hii ni kweli wana watoto wa kuzaa wenyewe? Swali langu linatokana na haya yafuatayo;
1. Mwaka mzima watu wanasubiri ajira hata hawana mpango wa kutoa zaidi ya kutoa sababu kibao.
2. Kutoa matamko mengi ambayo mengi yana athari kwa wananchi lakini wao hawajali.
3. Wanafunzi kukosa mikopo.
4. Kumjali faru John kuliko miili saba ya watu kule Ruvu.
5. Kutotoa fedha za maafa kule Kagera.
6. Kutumbua watu hata kwa makosa yanayohitaji kuonya.
7. Kukamata watu kama Mr Melo na kuwaweka ndani eti kisa wanaonekana. kwenda kinyume na serikali.
8. Bomoabomoa nyumba za wananchi ambazo hazikustahili kubomolewa lakini viongozi hawaonyeshi kushtuka.
Na kama watakuwa na watoto basi mi naweza kusema;
1. Hawana upendo.
2. Wana ubinafsi.
3. Siyo watu wa kujali shida za wengine.
4. Wapo kimaslahi.
5. Wanafki.