Hivi Viongozi Wazungu nao huwa wanaiba Mali za UMMA?

GenuineMan

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
5,252
11,600
Moja kwa moja kwenye, swali kama linavyosomeka hapo juu.

Huku Afrika mara nyingi kila uchao tunapambana na Ufisadi.

Ufisadi na ubadhirifu wa Mali za Umma, ni kizingiti kikuu katika kuyafikia maendeleo ya kweli.

Sasa katika kutafakari nikajiuliza swali, hawa ndugu zetu wa mbali, Wamagharibi almaarufu Wazungu, nao huwa wanasumbuliwa na hii kadhia.

Na je wanafanyaje kukabiliana nayo.?

Hapa JF najua kuna watu wameishi au wanaishi huko ambako watoto wa mjini wanapaita "mambele".
Mtusaidie majibu.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Kinachowalinda ni taasisi imara walizozibuni na kuziunda tangu zamani.Wao huheshimu sheria na taasisi zao hufanya kazi kwa kuzingatia sheria.Sisi hapa Rais au Chama tawala wanaweza fanya lolote lile kwa maslahi yao maadam tu hakuna mtu wa kuwafunga.
 
Uibaji wao tofauti,hawaweki 10 pasenti au kuchota hazina,bali wanaanzisha makampuni yanayopata tenda nje ya nchi,mfano bush alipokua madarakani alikuja bongo akakaa siku tatu,kampuni yake ya acacia ilipata tenda ya kuchimba dhahabu hapa,katumia logistic za nchi kujinufaisha,kule iraq akalianzisha na kumtoa saddam,wanafyonza mafuta siyo mchezo,obama akaja akakaa siku tatu,kampuni yake ya symbion tulikua nayo hapa
 
Moja kwa moja kwenye, swali kama linavyosomeka hapo juu.

Huku Afrika mara nyingi kila uchao tunapambana na Ufisadi.
Ufisadi na ubadhirifu wa Mali za Umma, ni kizingiti kikuu katika kuyafikia maendeleo ya kweli.

Sasa katika kutafakari nikajiuliza swali, hawa ndugu zetu wa mbali, Wamagharibi almaarufu Wazungu, nao huwa wanasumbuliwa na hii kadhia.
Na je wanafanyaje kukabiliana nayo.?

Hapa JF najua kuna watu wameishi au wanaishi huko ambako watoto wa mjini wanapaita "mambele".
Mtusaidie majibu.
1. Ufisadi na wizi wa Rasilimali za umma upo ktk Serikali za nchi karibu zote hapa duniani. Isipokuwa tofauti ni ukubwa wa tatizo lenyewe kwa kila nchi.
2.Wenzetu wameweza kudhibiti suala hili la wizi na Ufisadi kwa kuweka MIFUMO IMARA NA THABITI KABISA YA UENDESHAJI WA NCHI. Nchi zina Mifumo Imara ya Utawala na Uendeshaji wa Shughuli zote za Serikali. Sheria zao pia ziko Imara, hakuna mtu hata mmoja ktk nchi ambaye yuko juu ya Sheria.
Kumbuka: Katika nchi zenye watu na Utawala uliostaarabika, kitu pekee ambacho watu wote ktk nchi husika wanakiogopa sana ni Kuvunja Sheria za nchi husika, wala si vinginevyo.
 
Pia ufisadi na rushwa ni matokeo ya mazingira fulani kama vile urasimu uliopitiliza, ufinyu wa taarifa na uwazi, ajira za kujuana, umaskini, utamaduni n.k mambo ambayo hayako sana katika nchi nyingi za wazungu.
 
Wamejengwa na kukuzwa kwenye uaminifu na uadilifu mkubwa tangu utotoni.

Matharani;

Jaribu kumpitisha mzungu Mtoto kwenye mataa yakiwa mekundu uone reaction yake itakavyokuwa.

Hata kama ni siku ya Jumapili hakuna gari isipokuwa yenu tu ulopakiza Mtoto wa kizungu alokulia Ulaya /America,

Lakini bongo watu wazima wanavuka mataa yakiwa mekundu bila kujali madhara yanayoweza kuwakumba.

Huo ni mfano Mdogo tu.
 
Uibaji wao tofauti,hawaweki 10 pasenti au kuchota hazina,bali wanaanzisha makampuni yanayopata tenda nje ya nchi,mfano bush alipokua madarakani alikuja bongo akakaa siku tatu,kampuni yake ya acacia ilipata tenda ya kuchimba dhahabu hapa,katumia logistic za nchi kujinufaisha,kule iraq akalianzisha na kumtoa saddam,wanafyonza mafuta siyo mchezo,obama akaja akakaa siku tatu,kampuni yake ya symbion tulikua nayo hapa
Hao ni wazuri,hawaibi kwao
 
Kiongozi mzungu anafanya kazi yake kwa ufanisi, mwisho anapewa zawadi na sio kuiba. Mwafrika anachukuwa chake mapema.
Wamejengwa na kukuzwa kwenye uaminifu na uadilifu mkubwa tangu utotoni.

Matharani;

Jaribu kumpitisha mzungu Mtoto kwenye mataa yakiwa mekundu uone reaction yake itakavyokuwa.

Hata kama ni siku ya Jumapili hakuna gari isipokuwa yenu tu ulopakiza Mtoto wa kizungu alokulia Ulaya /America,

Lakini bongo watu wazima wanavuka mataa yakiwa mekundu bila kujali madhara yanayoweza kuwakumba.

Huo ni mfano Mdogo tu.
Imenikumbusha, mswahili msomi alienda kuongeza degree Finland. Kufika kule alikutana na binti wa huko, wakaoana. wakaja Bongo. Baada ya kuishi pamoja kwa miezi kadhaa Dar, waliamua kwenda kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Wakiwa wamemaliza kuvinjari mbugani, wakati wanarudi, mume baada ya kumaliza kunywa maji, akatupa chupa ya plastic nje, kwenye pori la Serengeti. Mwanamke mzungu alilalamika sana kuwa siyo sahihi. Yule mwanaume akamwambia kuwa huku ni Afrika, asidhani mambo ni kama kule Finland. Mwanamke akazidi kusisitiza kuwa siyo kweli, maana hata walipokuwa wanaingia hifadhini, waliambiwa na watunza hifadhi kuwa hawatakiwi kutupa kitu chochote mbugani. Mwanamke akamsisitizia mme wake, warudi kwenda kuchukua chupa iliyotupwa hifadhini, mwanaume akagoma.

Walipofika langoni, yule mwanamke akamwomba afisa wa hifadhi amtafutie gari ili arudi hifadhini kwa sababu wametupa chupa ya plastic hifadhini. Akatafutiwa gari, yeye na dereva wakarudi hifadhini, mwanaume akabakia langoni kusubiria. waliipata chupa ya plastic, akaja kuiweka kwenye dustin langoni, kisha akaondoka na mumewe. Kufika Dar, ilikuwa ndiyo mwisho wa ndoa, huku mwanamke akieleza kuwa hawezi kuishi na irresponsible husband. Wenzetu ni waaminifu sana kwa nafsi zao.
 
Back
Top Bottom